Tunahitaji kukomesha mchezo huu wa kukamata ndege zetu haraka!

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Hii ni mara ya pili ndege yetu inakamatwa na yawezekana kuna ka mchezo tunafanyiwa ambako ni ka kutuona tuko "weak" tunahitaji kutuma ujumbe sasa kuwa mataifa tunahitaji kuheshimiana.

Hivi ndege za Afrika Kusini zinazotua Hapa Kwetu hakuna yenye jambo la kuikamata, au kitu chochote chenye thamani na sisi tukamate ili kuweka presha kote kote.

Bila kufanya hivi itakuwa ni kila anayetudai sasa kukimbilia nchi tunakopeleka ndege na kukamata
 
Niko siti ya mbele na kwa dhati naunga mkono hoja hii
 
Hii ni mara ya pili ndege yetu inakamatwa na yawezekana kuna ka mchezo tunafanyiwa ambako ni ka kutuona tuko "weak" tunahitaji kutuma ujumbe sasa kuwa mataifa tunahitaji kuheshimiana.

Hivi ndege za Afrika Kusini zinazotua Hapa Kwetu hakuna yenye jambo la kuikamata, au kitu chochote chenye thamani na sisi tukamate ili kuweka presha kote kote.

Bila kufanya hivi itakuwa ni kila anayetudai sasa kukimbilia nchi tunakopeleka ndege na kukamata
Lipeni madeni. Acheni longolongo.

Waswahili walisema "Kukopa harusi, kulipa matanga".
 
Hii ni mara ya pili ndege yetu inakamatwa na yawezekana kuna ka mchezo tunafanyiwa ambako ni ka kutuona tuko "weak" tunahitaji kutuma ujumbe sasa kuwa mataifa tunahitaji kuheshimiana.

Hivi ndege za Afrika Kusini zinazotua Hapa Kwetu hakuna yenye jambo la kuikamata, au kitu chochote chenye thamani na sisi tukamate ili kuweka presha kote kote.

Bila kufanya hivi itakuwa ni kila anayetudai sasa kukimbilia nchi tunakopeleka ndege na kukamata
Komesheni kwa kulipa madeni mnayodaiwa.
 
Hii inaitwa ukinicheka Shambani mi nakucheka Sokoni..,Ukijua ya mbele wenzio wanajua ya nyuma..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Mungu Ibariki Gairo
 
Wewe unaona huu ni mchezo?
Hii ni mara ya pili ndege yetu inakamatwa na yawezekana kuna ka mchezo tunafanyiwa ambako ni ka kutuona tuko "weak" tunahitaji kutuma ujumbe sasa kuwa mataifa tunahitaji kuheshimiana.

Hivi ndege za Afrika Kusini zinazotua Hapa Kwetu hakuna yenye jambo la kuikamata, au kitu chochote chenye thamani na sisi tukamate ili kuweka presha kote kote.

Bila kufanya hivi itakuwa ni kila anayetudai sasa kukimbilia nchi tunakopeleka ndege na kukamata
 
Hii ni mara ya pili ndege yetu inakamatwa na yawezekana kuna ka mchezo tunafanyiwa ambako ni ka kutuona tuko "weak" tunahitaji kutuma ujumbe sasa kuwa mataifa tunahitaji kuheshimiana.

Hivi ndege za Afrika Kusini zinazotua Hapa Kwetu hakuna yenye jambo la kuikamata, au kitu chochote chenye thamani na sisi tukamate ili kuweka presha kote kote.

Bila kufanya hivi itakuwa ni kila anayetudai sasa kukimbilia nchi tunakopeleka ndege na kukamata
Dawa ni kuacha dhuluma. Serikali dhalimu hufuta mikataba ya wakandarasi bila kufuata sheria, hupora ardhi watu, na kufanya mauaji ya wakosoaji wake.
Acheni uovu na dhuluma, lipeni madeni mnayo daiwa, mkifanya hayo, hao bundi wenu hawatabugudhiwa wakienda kuwanga.
 
Hii ni mara ya pili ndege yetu inakamatwa na yawezekana kuna ka mchezo tunafanyiwa ambako ni ka kutuona tuko "weak" tunahitaji kutuma ujumbe sasa kuwa mataifa tunahitaji kuheshimiana.

Hivi ndege za Afrika Kusini zinazotua Hapa Kwetu hakuna yenye jambo la kuikamata, au kitu chochote chenye thamani na sisi tukamate ili kuweka presha kote kote.

Bila kufanya hivi itakuwa ni kila anayetudai sasa kukimbilia nchi tunakopeleka ndege na kukamata
wewe unadhani kila kitu kinajibiwa kwa hasira na visasi,ile ni dunia nyingine mkuu LIPA DENI NDIO NJIA PEKEE AU serikali yangu nayo ijibu kuwa haidaiwi kwa hiyo mahakama ndio itaamua,kinyume chake tutaumia mno na elewa hivi ni nani anaye pick parking bills ya ndege iliyoshikiliwa pale OR Tambo int.Airport?kama ni serikali yetu means tunatengeneza deni jingine pale.
 
Hii ni mara ya pili ndege yetu inakamatwa na yawezekana kuna ka mchezo tunafanyiwa ambako ni ka kutuona tuko "weak" tunahitaji kutuma ujumbe sasa kuwa mataifa tunahitaji kuheshimiana.

Hivi ndege za Afrika Kusini zinazotua Hapa Kwetu hakuna yenye jambo la kuikamata, au kitu chochote chenye thamani na sisi tukamate ili kuweka presha kote kote.

Bila kufanya hivi itakuwa ni kila anayetudai sasa kukimbilia nchi tunakopeleka ndege na kukamata
Nikisemaga bongo kumejaa wajinga na matakataka

Wewe kwa akili zako zilizo jaa kinyesi unajua AK

Unaujua uchumi wa AK??

Kwa lipi upingane na AK kama mlimkopa mlipeni

BTW ni taifa la wajinga tuuu pale ambayo serikali inapofanyaga biashara

Ukimind chomoa betri ufe
 
Tuache kulalamika tulipe madeni maana jiwe kila siku anasema amechungulia hazina amegundua kuna hela nyingi kumbe wadeni wetu wanamsikia. Jamaa hajui kabisa effect ya kila anachokisema.
 
Hii ni mara ya pili ndege yetu inakamatwa na yawezekana kuna ka mchezo tunafanyiwa ambako ni ka kutuona tuko "weak" tunahitaji kutuma ujumbe sasa kuwa mataifa tunahitaji kuheshimiana.

Hivi ndege za Afrika Kusini zinazotua Hapa Kwetu hakuna yenye jambo la kuikamata, au kitu chochote chenye thamani na sisi tukamate ili kuweka presha kote kote.

Bila kufanya hivi itakuwa ni kila anayetudai sasa kukimbilia nchi tunakopeleka ndege na kukamata

Bado nasisitiza tunahitaji kuweka heshima. huu mchezo wa kukamata ndege zetu unaelekea kuwa mchezo.

kila mmoja anaonekana kujifunza kwa lililotokea Kanada na hili na yataendelea lakini tunahitaji kutengeneza turning point ili hii isionekane uchochoro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom