Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Jana nilikaa nikaunguza bando langu kuangalia mkutano wa Tundu Lissu wa kule Marekani aliofanya na Watanzania. Ni maneno yaliyonigusa sana sana.
Ningeomba chombo kimoja cha habari, hata ikiwezekana JF, iratibu mahojiano na TL lakini yasiwe kabisa kuhusu siasa. Mahojiano na maswali yawe tu kuhusu mambo ya kawaida kama filamu, michezo, muziki, familia, nk. Iwe light-hearted interview. Tucheke tufurahi.
At the end of the day, that's life all about.