Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
Serikali inahitaji kufikiria kujenga hospitali ya Taifa mpya kubwa na na ya kiwango cha juu kwa huduma Jijini dodoma na Muhimbili ibakie kuwa zonal hospital.
Sababu ni hizi.
Dodoma ni katikati ya nchi kitu ambacho kitawapunguzia wananchi gharama za kusafiri hadi DSM pale wanapo pewa rufaa kutoka hospitali za kanda .
Eneo la Muhimbili lina msongamano mkubwa sana. Dodoma kwa sasa bado ina nafasi. Serikali inatakiwa itafuta eneo lenye ukubwa zaidi ya eneo cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya National Hospital ili kukidhi mahitaji ya wagonjwa na wauguzi pamoja.
Hizi ndio sababu kubwa na kuwa na hospitali ya taifa Dodoma.