Tunahitaji Chama Lulu sio Chama maua, CCM lilikuwa ua zuri tu

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,930
3,803
Sasa ni wakati wa kutegemea Tanzanaia kupata uongozi Lulu (Pearl) na sio kuendelea na huu au serikali iliyokwisha zake ni ya kutupwa kwa maana ya chama hao.

CCM lilikuwa Ua zuri linalonukia tulilolichuma baada ya kuunganisha ASP na TANU na kila mtu akalipenda ua hili na kila awezae ikawa tunatembea nalo huku na kule ,tunasema kifua mbele.

Taarifa iliyopo Ua limeshanyauka na halina tena harufu nzuri sasa limeanza kunuka na kawaida ikifikia hapo,Ua hili huna budi kulitupa.

WaTanzania wanahitaji Uongozi Lulu ambao kama tunavyoifahamu Lulu kupatikana kwake na ilipo kila ikiwa deep see ndio nzuri zaidi na tunapoipata itabidi tuilinde na kuihifadhi sehemu nzuri.

Bye bye CCM tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
 
Chadema ndio mpango mzima.
 
Back
Top Bottom