Tunagomboa (clear ) mizigo aina zote bandarini na JNI-Aiport


zachaja

zachaja

Member
Joined
May 16, 2015
Messages
98
Likes
101
Points
40
zachaja

zachaja

Member
Joined May 16, 2015
98 101 40
S.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa ( clear ) mizigo bandarini, viwanjani vya ndege na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa mizigo, tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nzuri. Pia tunatoa kamisheni ya mpaka 30% kwa yeyote atakaye tuletea/kutuunganisha na mteja.

Wasiliana Nasi;

S.A Link Traders Ltd,
2nd Floor-Elite City building (opposite Harbour view tower),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Wasiliana nasi; email: info@salink.co.tz
Mobile: +255718 866 651(call or whatsapp)
Pia tutembelee: salink.co.tz
Facebook page: https://web.facebook.com/sakink2017/

KARIBUNI SANA.
 
Last edited:
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Messages
574
Likes
408
Points
80
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2014
574 408 80
Eleza mizigo kiwango kipi
Maana kuna watu wana fridge mbili na.tv
Utatoa au mwanamama ameagiza kwa ndege sukuna tatu na hereni set 1
 
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Messages
574
Likes
408
Points
80
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2014
574 408 80
S.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanjani vya ndege na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa mizigo, tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nzuri. Pia tunatoa kamisheni ya mpaka 40% kwa yeyote atakaye tuletea/kutuunganisha na mteja.

Tunapatikana; 2nd Floor-Elite City building,
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Wasiliana nasi; email: info@salink.co.tz
call: +255718 866 651/+255764 846 845.
whatsup: +255688 866 882
Pia tutembelee: salink.co.tz

KARIBUNI SANA.
Mizigo kiwango gani njoo huku
 
zachaja

zachaja

Member
Joined
May 16, 2015
Messages
98
Likes
101
Points
40
zachaja

zachaja

Member
Joined May 16, 2015
98 101 40
Eleza mizigo kiwango kipi
Maana kuna watu wana fridge mbili na.tv
Utatoa au mwanamama ameagiza kwa ndege sukuna tatu na hereni set 1
Inategemea mkuu, TRA huangalia thamani ya bidhaa husika na kiasi (quantity). fridge mbili na tv kama thamani yake itazid USD1,000 mzigo huo utatozwa kodi vinginevyo viwe ni kwa ajili ya matumizi binafsi umekuja navyo kutoka nje ya nchi, vivyo ivyo sukuna 3 hereni set 1 kama vitazidi dollar 1,000.
 

Forum statistics

Threads 1,235,265
Members 474,471
Posts 29,216,167