TUNAFUNGA SOUND PROOF KWENYE NIGHT CLUB, LOUNGE, BAR, KUMBI ZA SHEREHE NA MAKANISANI.

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Messages
3,632
Points
2,000

Powder

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2016
3,632 2,000
Habari!!
Kutokana na katazo la Serikali kupitia Wizara ya ndani juu ya kupunguza/kudhibiti sauti kubwa toka kwenye Bar, Night Clubs, Kumbi Mbalimbali pamoja na Makanisa, tumeona tutumie nafasi hii kutangaza tangazo letu linalohusisha juu ya Ufungaji wa Sound proof kwenye sehemu tajwa hapo juu.

Sound proof ni ngumu wa kuzuia Mwangi wa Sauti, pia kuzuia Sauti toka ndani kwenda nje ama toka nje kuingia ndani.

Sound proof ambayo hufungwa kwenye Clubs ni tofauti na ambayo hufungwa Makanisani na ni tofauti na ile inayofungwa kwenye Studios.

Kwa sasa tunatoa offer ya kufunga Sound proof kwa bei pungufu zaidi ya kawaida....

Na Kama ni Kanisa tunatoa offer ya kulipa 50% cash na ilobaki Kanisa linaweza kulipa kidogo kidogo kila week mpaka Deni litapokwisha.

Ukiacha Sound proof, huwa tunafanya Wall painting designing, Artwork painting, interior and exterior decorations, Setting za Taa, Music setting etc.

Kama una swali lolote kuhusu Sound proof unaweza kuuliza, nimeambatanisha na kazi chache ambazo tumefanya na team yangu.

Mawasiliano +255714417641

IMG_20190831_142917.jpg
IMG_20190831_142851.jpg
IMG_20190831_143215.jpg
 

Forum statistics

Threads 1,344,662
Members 515,970
Posts 32,831,266
Top