Minael Masasi
Member
- Jan 10, 2019
- 34
- 55
TUNAFUNGA MFUMO WA UMWAGILIAJI MAJI (DRIP IRRIGATION ), KUANZIA NUSU HEKA NA KUENDELEA, EPUKA KUKAUKIWA KWA MIMEA SHAMBANI KWA UKOSEFU WA MAJI YA UHAKIKA, NA KULIMA KWA KUTEGEMEA MVUA PEKEE,
umuhimu wa kutumia mfumo wa umwagiliaji maji kwa njia ya drip zinazomwaga matone kidogo kidogo,
1. Matumizi ya maji yanakuwa kidogo sababu yanamwaga katika mche husika.
2. mimea inapata maji katika kiwango stahiki hivyo inapunguza mimea kuathiriwa na ukungu.
3. unapangilia muda mzuri wa umwagiliaji maji.
4. ni njia rahisi ya kusambaza dawa kwa njia ya maji na dawa kupenya vizuri katika udongo.
5. inapendezesha shamba lako linakuwa katika mpangilio mzuri pia ni rahisi kulihudumia shamba.
hizo ni baadhi ya dondoo za matumizi mazuri ya drip irrigation system,
Na hasa katika kipindi cha jua kali unakuwa unatamani kulima mazao tofauti tofauti kwa kuhofia kukosekana kwa maji ya uhakika ni vyema ukatumia mfumo huo wa umwagiliaji maji,
Gharama zake,
1. Nusu heka milioni 1.5 vifaa na matengenezo pamoja na ufundi,pamoja na ushauri wa mazao mbali mbali bila malipo.
2. Heka moja milioni 3 vifaa, matengezo na ufundi.
NB, Tukifika katika shamba lako tutakupa na elimu ya mazao unayotaka kulima, pamoja na masoko yake yalipo,
kwa mawasiliano zaidi tupigie
0745478823, 0657570212
Dar es saalam, Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app