Tunafanyeje sikukuu hii?. Ni swali la kipumbavu sana

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,979
Nawatakia asubuhi njema watu wote!.

Swali hili " Tunafanyeje sikukuu hii" nimekumbana nalo mara kadhaa hasa tunapokaribia sikukuu yoyote maarufu.

Waulizaji wakuu wa swali hili ni marafiki ninaopiga nao mishindo (mipango ya hela), hela niliyoigeuza jina na kuiita Jela.

Kundi la pili ni wanawake wanaotaka kukupiga mizinga ya nguo za sikukuu na kundi la tatu ninahisi ni wavulana wanaotaka kuvunja amri ya sita na mabinti.

Tubadilike, hela/fedha almaarufu jela au mapenzi visiwe vya msimu.
 
Jibu simple tu. Tukutane msikitini au church kufanya ibada. Halafu kila mtu kwake.
 
Back
Top Bottom