Tunafanya Website designing ,Hosting na Mobile development

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,467
1,327
Hello ,wanajamvi habari za muda huu na matumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku ,wadau kwa yeyote anayehitaji ,web na app designing ,pamoja na hosting tuwasiliane ,kwa anayehitaji hosting ni 80,000 kwa package ya kutosha kabisa ,na kama utahost kwetu tutakupa mwezi mmoja bure ,piga 0687 535650
 
Website mnadesign kwa bei gani na ni lugha ipi mnayotumia kwenye kudesign website?
Nalog off
 
Hello ,wanajamvi habari za muda huu na matumaini mnaendelea vyema na mihangaiko ya kila siku ,wadau kwa yeyote anayehitaji ,web na app designing ,pamoja na hosting tuwasiliane ,kwa anayehitaji hosting ni 80,000 kwa package ya kutosha kabisa ,na kama utahost kwetu tutakupa mwezi mmoja bure ,piga 0687 535650
Huu uzi una wenye? Mpoo?
 
kwa mfano mimi mkulima ama mwenye duka; itanigharimu kiasi gani hadi matangazo yangu yanakuwa mawinguni duniani?
Sijui ndiyo kusema domain name sourcing, web and app designing, hosting etc?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom