TUNAFANYA USAJILI (PHOTO ENTRY) KWA KIDATO CHA PILI (FTNA) NA NNE (CSEE) 2019

Msolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
2,342
3,002
Habari Wakuu,

Hii ni kwa Walimu na Wadau elimu hasa kwa shule za Sekondari, kuna hii kazi ya NECTA ya Photo Entry kwa wanafunzi wa Kidato cha Pili na Nne kwa mwaka 2019.

Nafanya kazi hii popote nchini kwa kutumia mfumo maalumu wa computer(software) ambao unarahisisha kazi hii kwa mda mfupi sana, vyote kulingana na mahitaji (specifications) ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).

Picha inatakiwa iwe na ukubwa wa 132X185 (Width na Height) pia Uzito usiozidi 4Kb kwa picha.

Kazi inafanyika hapo shuleni na kukabidhiwa kazi yako ikiwa ni CD yenye picha za wanafunzi pamoja printed documents. Vyote hivi ni kwa gharama ya shilingi 1500 tu kwa mwanafuzi mmoja.

Nitafute kwa mawasiliano haya:

0752110945 au PM kwa maelezo zaidi.
 
Habari Wakuu,

Hii ni kwa Walimu na Wadau elimu hasa kwa shule za Sekondari, kuna hii kazi ya NECTA ya Photo Entry kwa wanafunzi wa Kidato cha Pili na Nne kwa mwaka 2019.

Nafanya kazi hii popote nchini kwa kutumia mfumo maalumu wa computer(software) ambao unarahisisha kazi hii kwa mda mfupi sana, vyote kulingana na mahitaji(specification) ya NECTA.

Picha inatakiwa iwe na ukubwa wa 132X185(Width na Height) pia Uzito usiozidi 4Kb kwa picha.

Kazi inafanyika hapo shuleni na kukabidhiwa kazi yako ikiwa ni CD yenye picha za wanafunzi pamoja printed documents. Vyote hivi ni kwa gharama ya shilingi 1500 tu kwa mwanafuzi mmoja.

Nitafute kwa mawasiliano haya:

0752110945 au PM kwa maelezo zaidi.
1500 labda kwa shule za private tu ila hizi za "sirikali" bei elekezi ni Tsh 1000 tu bado hujawapa chai waalimu.!
By the way komaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1500 labda kwa shule za private tu ila hizi za "sirikali" bei elekezi ni Tsh 1000 tu bado hujawapa chai waalimu.!
By the way komaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes najua hilo, hii ni kwa shule binafsi zaidi, shule za Serikali unaomba tenda kupitia Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) na mwisho ilikuwa ni jumatatu juzi. Karibu tufanye kazi.
 
Back
Top Bottom