Tunafanya Fumigation

Mijicho

JF-Expert Member
Jan 20, 2009
280
212
habari wote,

From:professional Pest Control Tanzania Limited

Napenda kuwafahamisha kwamba ,kampuni yetu inafanya shughuli za kupulizia wadudu/fumigation kwa wadudu wa kila aina ,majumbani na maofisini.

Utaratibu wa kupata huduma zetu,
-Wasiliana na sisi tuweze kujua tatizo na sehemu(0756894834,0767210378,0719256666)
-Tunafika hiyo sehemu na kukagua ukubwa wa tatizo na makisio ya bei
-Tunakubaliana siku ya kufanya kazi
-Malipo

Tukaribisihe tuondoe tatizo lako la wadudu wa kila aina
 
Mkifanya fumigation guarantee ni muda gani kabla wadudu kama panya na mende hawajajivinjari tena?
 
dawa zenu zinahusu mbu?
kwa muda gani ?
makisio yenu ya bei kwa nyumba ya kawaida?
 
Wewe unajua maana ya alama hii '?' kama unajua cheki tena maswali ya the boss

Sawa mkuu,majibu ni hayo
1.ndio
2.miezi mitatu
3.nyumba ndogo 2-3,inaweza kwenda mpaka 5 depending na ukubwa wa nje pia,aina,ghorofa etc
 
Ttz mnachanganya na Maji mengi ili mmtpze mteja bei ndogo chukulia nuvan nusu lita inauzwq 40000 mteja anaambiwa atapuliziwa nyumba kwa sh 40000 Mimi mtanikuta na Dawa zote sijui nuvan icon doom rungu nknk halafu tupatane bei ya kupulizia tu Na mashine yenu
 
ICON inauzwa wapi?
umenunua kiasi gani?
 
inakwenda tano nini?
elfu tano?
kama huna hela bora kukaa kimya tu,sio kila kitu we huelewi,details zingine sio lazima umtafunie mtu kila kitu.
Wewe ni mgumu kuelewa ,na mwepesi kusahau.
Kama ni biashara wacha inishinde tu
 
kama huna hela bora kukaa kimya tu,sio kila kitu we huelewi,details zingine sio lazima umtafunie mtu kila kitu.
Wewe ni mgumu kuelewa ,na mwepesi kusahau.
Kama ni biashara wacha inishinde tu

Wewe kweli bure kabisa! Sasa ulileta tangazo lako hapa ili iweje kama huwezi kujibu maswali ya prospective customers.
 
dawa zenu zinahusu mbu?
kwa muda gani ?
makisio yenu ya bei kwa nyumba ya kawaida?

Nafanya fumigation inayoangamiza mazalia na uwepo wa mbu, mende, chawa, papasi, kunguni, na viroboto majumbani na mashambani pia kwenye mifugo.

Pia fumigation maofisini, warehouse na stores.
Bei ni nafuu sana sh. 1000 ( moja) kwa square metre.
Muda unaotolewa (guarantee) ni miez 4.
 
Mkuu weka wawasiliano yako tafadhali? Baada ya kufanya fumigation kwenye nyumba ya aliyohama mtu inatakiwa kuachwa siku ngapi kabla ya kuhamia mpangaji mpya?
 
Mkuu weka wawasiliano yako tafadhali? Baada ya kufanya fumigation kwenye nyumba ya aliyohama mtu inatakiwa kuachwa siku ngapi kabla ya kuhamia mpangaji mpya?

Mkuu yaweza kuwa tayari kuishi baada ya siku 2. 0712000610.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom