TUNAFANYA DESIGN YA BUSTANI YA MBOGAMBOGA KWA GHARAMA NAFUU KWENYE MAKAZI

M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
KILIMO CHA MBOGAMBOGA KATIKA ENEO DOGO LA MAKAZI

kilimo cha mboga mboga katika bustani za nyumbani kwenye eneo dogo tuu ambazo unaweza kuziotesha kwaajili ya matumizi ya nyumbani na ziada unaweza kufanya kama sehemu yako ya kipato cha ziada,, umuhimu wa kupanda mboga mboga nyumbani,

1. Utunzaji wa mazingira na kupendezesha eneo lako hata kufanya upathamini zaidi,

2. kuongeza kipato cha ziada ambacho kitasaidia kujikimu kiuchumi kwa kutatua matatizo madogo madogo ya familia.

3. unajipatia mboga kwaajili ya matumizi ya nyumbani hata siku umekosa unaweza zitumia kwa mboga za familia.

4. unatengeneza hali ya watoto kupenda kilimo angali wadogo na kuchukulia kilimo kama sehemu ambayo anaweza kupata kipato kama kazi zinginezo.

Na kama Mungu amekujaalia una maji nyumbani kwanini usiyatumie kwa manufaa hata kwa kuweka mfumo wa umwagiliaji katika eneo dogo na ukafanya kilimo hicho cha mboga mboga hili ulishe watu wanaokuzunguza uweze kujipatia kipato cha ziada,

Ukihitaji ushauri au namna ya kukufanyia shughuli ya kuweka bustani kidogo ya mboga mboga nyumbani kwako katika eneo dogo pamoja na kukupa mbegu nzuri za chinese, spinach, matembele, mchicha na nyinginezo tupigie

0745478823, 0657570212
fb_img_1541738029193-jpeg.1120009
 
kiunzi

kiunzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Messages
288
Points
250
kiunzi

kiunzi

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2018
288 250
Ugali wa Baba yenu mna angaika kuudokoa!

Watoto hawana adabu hawa!!!! ugali wa baba yenu mzazi!!!!
 
M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
Kuna kazi gani ya maana mnayo fanya hadi utake laki tano... Acheni utapeli toeni jasho lenu.. Msipende rahic hivyo
.
Kuna suala la kuweka mfumo wa umwagiliaji maji,, na mbegu pamoja na mbolea,,
 
M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
Teh teh tapeli mkubwa ww
Usikalili maisha kaka, ulishawahi kutapeliwa na mimi au unazungumza hili mradi,, heshimu page ya mtu wewe ni mtu mzima tumia busara zaidi
 
mtongwe

mtongwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
331
Points
500
mtongwe

mtongwe

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2016
331 500
Bei ni kubwa kuliko uhalisia.....jitathmini kwanza halafu uje tena kivingine sio kwa bei hizo
 
T

Third eye judge

Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
30
Points
95
T

Third eye judge

Member
Joined Aug 9, 2016
30 95
KILIMO CHA MBOGAMBOGA KATIKA ENEO DOGO LA MAKAZI

kilimo cha mboga mboga katika bustani za nyumbani kwenye eneo dogo tuu ambazo unaweza kuziotesha kwaajili ya matumizi ya nyumbani na ziada unaweza kufanya kama sehemu yako ya kipato cha ziada,, umuhimu wa kupanda mboga mboga nyumbani,

1. Utunzaji wa mazingira na kupendezesha eneo lako hata kufanya upathamini zaidi,

2. kuongeza kipato cha ziada ambacho kitasaidia kujikimu kiuchumi kwa kutatua matatizo madogo madogo ya familia.

3. unajipatia mboga kwaajili ya matumizi ya nyumbani hata siku umekosa unaweza zitumia kwa mboga za familia.

4. unatengeneza hali ya watoto kupenda kilimo angali wadogo na kuchukulia kilimo kama sehemu ambayo anaweza kupata kipato kama kazi zinginezo.

Na kama Mungu amekujaalia una maji nyumbani kwanini usiyatumie kwa manufaa hata kwa kuweka mfumo wa umwagiliaji katika eneo dogo na ukafanya kilimo hicho cha mboga mboga hili ulishe watu wanaokuzunguza uweze kujipatia kipato cha ziada,

Ukihitaji ushauri au namna ya kukufanyia shughuli ya kuweka bustani kidogo ya mboga mboga nyumbani kwako katika eneo dogo pamoja na kukupa mbegu nzuri za chinese, spinach, matembele, mchicha na nyinginezo tupigie

0745478823, 0657570212View attachment 1120009
Hongera mkuu, kwakweli muonekano Ni mzuri Sana, Ila naona chemical nyingi Sana zilizonyunyiziwa kwenye hizo mboga. Hivi kunauwezekano wa kulima mboga Kama hizo bila kutumia hizochemical. Tunaweza kuepuka athari nyingi za kiafya zinazoweza kujitokeza tukipata mbadala.
 
M

Mkwaruu

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
2,894
Points
2,000
M

Mkwaruu

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
2,894 2,000
KILIMO CHA MBOGAMBOGA KATIKA ENEO DOGO LA MAKAZI

kilimo cha mboga mboga katika bustani za nyumbani kwenye eneo dogo tuu ambazo unaweza kuziotesha kwaajili ya matumizi ya nyumbani na ziada unaweza kufanya kama sehemu yako ya kipato cha ziada,, umuhimu wa kupanda mboga mboga nyumbani,

1. Utunzaji wa mazingira na kupendezesha eneo lako hata kufanya upathamini zaidi,

2. kuongeza kipato cha ziada ambacho kitasaidia kujikimu kiuchumi kwa kutatua matatizo madogo madogo ya familia.

3. unajipatia mboga kwaajili ya matumizi ya nyumbani hata siku umekosa unaweza zitumia kwa mboga za familia.

4. unatengeneza hali ya watoto kupenda kilimo angali wadogo na kuchukulia kilimo kama sehemu ambayo anaweza kupata kipato kama kazi zinginezo.

Na kama Mungu amekujaalia una maji nyumbani kwanini usiyatumie kwa manufaa hata kwa kuweka mfumo wa umwagiliaji katika eneo dogo na ukafanya kilimo hicho cha mboga mboga hili ulishe watu wanaokuzunguza uweze kujipatia kipato cha ziada,

Ukihitaji ushauri au namna ya kukufanyia shughuli ya kuweka bustani kidogo ya mboga mboga nyumbani kwako katika eneo dogo pamoja na kukupa mbegu nzuri za chinese, spinach, matembele, mchicha na nyinginezo tupigie

0745478823, 0657570212View attachment 1120009
Wakuu hbr.
Naomba kujua kama kuna mahali popote hapa Nchi mlipowahi kufanya haya katika mikoa tofauti ambapo ardhi inapatikana kwa bei nzuri na ardhi nzuri..
Asanteni
 
Forum statistics

Threads 1,304,178
Members 501,290
Posts 31,505,441
Top