Tunaendelea: Kongamano la Katiba mpya latinga Jimbo la Magu, Umati mkubwa washiriki

Hawanachadema watupu. Pambaneni na katiba ya chama chenu. Katiba ya wananchi itatafutwa na wananchi wenyewe wasio na mlengo wa vyama vya siasaa.
Baada ya kumaliza shughuli ya kumbukumbu ya Mwl Nyerere kule Butiama kwa mafanikio makubwa, Vijana wa Bavicha wanaendelea na kazi ya Kitume ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi ambapo leo wameingia Jimbo la Magu na Kukumbana na Umati wa wananchi ukiwasubiri kwa kishindo.

Maneno matupu hayavunji mfupa, hebu jionee mwenyewe.

View attachment 1976460View attachment 1976461
 
Exactly bwashee na ndiomana viongozi wa Chadema wanajitahidi kuwaelimisha wananchi. Na wanchini wakishayaelewa majukumu na nguvu ya maamuzi yao juu ya utawala katika nchi yao, hakuna wa kuwazuia katika lolote watakaloliamua wao
Si kwamba hajui ila anaamua kuleta sarakasi tu
 
Umuhimu upo mkubwa sana.hii harakat mmeindesha kichama.ilitakiwa iwe people centered ila imekua ya kichama zaidi
Wananchi wote ni Chadema , hao polisi wachache ndio ccm , hatuna haja nao .
 
Baada ya kumaliza shughuli ya kumbukumbu ya Mwl Nyerere kule Butiama kwa mafanikio makubwa, Vijana wa Bavicha wanaendelea na kazi ya Kitume ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi ambapo leo wameingia Jimbo la Magu na Kukumbana na Umati wa wananchi ukiwasubiri kwa kishindo.

Maneno matupu hayavunji mfupa, hebu jionee mwenyewe.

View attachment 1976460View attachment 1976461
Hivi Sirro anazo taarifa kwamba haya yanaendelea, au kasusa!

Tatizo ndilo hilo. Unaanza na kutisha watu, unapofika mahala huna uwezo tena wa kuwatisha unakuwa ni kioja!

Namna hii watu wameanza kupata 'confidence', na kutokea hapa hadi 2025 hali itakuwa ni tofauti kabisa.

Kazi hii iendelee kwa nguvu na kasi zaidi. Hakuna kuachia hadi wachanganyikiwe.
 
Umuhimu upo mkubwa sana.hii harakat mmeindesha kichama.ilitakiwa iwe people centered ila imekua ya kichama zaidi
Kwani wewe unataka aifanye nani?
Kuna mwananchi, taasisi iliyokatazwa kuifanya kwa vile CHADEMA wanaifanya? Hizi asasi za kijamii zinazotegemewa kuendesha shughuli hii zimeganda, ni kama hazipo kabisa; kwa hiyo hali hiyo ndiyo inayokupendeza wewe?

Kudai Katiba nchi si swala la CHADEMA pekee, lakini hiyo haiwazuii kuifanya. Kwani wao siyo waTanzania?
 
Exactly bwashee na ndiomana viongozi wa Chadema wanajitahidi kuwaelimisha wananchi. Na wanchini wakishayaelewa majukumu na nguvu ya maamuzi yao juu ya utawala katika nchi yao, hakuna wa kuwazuia katika lolote watakaloliamua wao
Wananchi wasio na uelewa wa umuhimu wa katiba mpya wengi wao ni wanasiasa wa CCM na wale wasio na vyama kama waliopo kwenye dola.
Na hao ndio walioshika mpini na mabunduki ya kuwapiga wale wanaojua umuhimu wa Katiba mpya.

Wanaojua umuhimu wa katiba bora katika nchi ni wanaharakati .
Wanachadema wengi hawawezi kueleza umuhimu wa katiba bora kwa wananchi zaidi ya kuwaza uchaguzi na mambo ya madaraka na serikali tatu.

Dunia ya Leo watu tunawaza mambo ya kuwa na nchi yenye marais watatu!!! Mara serikali za majimbo ,Mara Uhuru wa kuandamana.
Ujunga mtupu.!!!!
Yani hii nchi tatizo ni Uhuru wa kuandamana kweli?

Hivi kwa hali ya Kawaida kabisa Chadema hawaoni kuwa wao ndio wanaokwamisha katiba mpya kupatikana kutokana na kuingiza misimamo na Sera za chama chao kwenye katiba!!!

Mfano suala la serikali za majimbo na suala la serikali tatu . Utawaambia nini wanasiasa wa CCM wakubaliane na haya.??
Serikali mbili ni suala la kitaifa na mikoa ni suala la kitaifa. !! Hayo yamewekwa na waasisi na CCM kama chama wakaunga mkono katiba ya nchi.
Sasa suala la majimbo kipo kwenye Sera za Chadema kabla ya mchakato wa katiba.
CCM haiwezi kukubali kamwe.

Kuna mambo ni lazima Chadema wakubaliane na waasisi hasa masuala ya nchi kama Muungano na mikoa.
CCM walegeze kwenye masuala ya madaraka ya Rais mana hayo kwenye karne hii ni upuuzi kuwa na Rais mwenye madaraka makubwa kuliko Mungu. Urais usiwe ni umungu na kuweka vitu vyote chini ya miguu ya MTU mmoja.

Lazima tudai katiba bila kuweka misimamo na Sera za vyama kwenye katiba.

Kwanza Wapinzani hasa Chadema wakubali marekebisho ya katiba ya sasa ili tuwe na tume huru ya uchaguzi.
Hapo waweke shinikizi kubwa sana la kuwakataa kabisa wateule wa Rais kuwa wasimamizi wa uchaguzi.
Uchaguzi usimamiwe na viongozi wa dini na wale machifu wa kimila.
Mwenyekiti wa tume awe ni Jaji aliyetumikia nchi hii kwa miaka isiyopungua 30 na mwenye umri usiopungua miaka 55. Asiye mwanachama wa chama chochote.

Wasimamizi wa majimbo wawe ni watumiishi wastaafu wenye rekodi ya kutokuwa wanasiasa au wagombea wa siasa. Watu ambao hawana nafasi tena ya kuwaza uteuzi .
I

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Suala la Muungano ni la wananchi wenyewe , si la waasisi kama ulivyodai , kuzaliwa zamani hakumaanishi wao ndio wanaweza kutuamulia watakayo , hatutakubali na wala hatutatishwa kamwe .
 
Baada ya kumaliza shughuli ya kumbukumbu ya Mwl Nyerere kule Butiama kwa mafanikio makubwa, Vijana wa Bavicha wanaendelea na kazi ya Kitume ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi ambapo leo wameingia Jimbo la Magu na Kukumbana na Umati wa wananchi ukiwasubiri kwa kishindo.

Maneno matupu hayavunji mfupa, hebu jionee mwenyewe.

View attachment 1976460View attachment 1976461
Katiba mpya haina mbadala. Itacheleweshwa tu lakino itapatikana soon
 
Wananchi wasio na uelewa wa umuhimu wa katiba mpya wengi wao ni wanasiasa wa CCM na wale wasio na vyama kama waliopo kwenye dola.
Na hao ndio walioshika mpini na mabunduki ya kuwapiga wale wanaojua umuhimu wa Katiba mpya.

Wanaojua umuhimu wa katiba bora katika nchi ni wanaharakati .
Wanachadema wengi hawawezi kueleza umuhimu wa katiba bora kwa wananchi zaidi ya kuwaza uchaguzi na mambo ya madaraka na serikali tatu.

Dunia ya Leo watu tunawaza mambo ya kuwa na nchi yenye marais watatu!!! Mara serikali za majimbo ,Mara Uhuru wa kuandamana.
Ujunga mtupu.!!!!
Yani hii nchi tatizo ni Uhuru wa kuandamana kweli?

Hivi kwa hali ya Kawaida kabisa Chadema hawaoni kuwa wao ndio wanaokwamisha katiba mpya kupatikana kutokana na kuingiza misimamo na Sera za chama chao kwenye katiba!!!

Mfano suala la serikali za majimbo na suala la serikali tatu . Utawaambia nini wanasiasa wa CCM wakubaliane na haya.??
Serikali mbili ni suala la kitaifa na mikoa ni suala la kitaifa. !! Hayo yamewekwa na waasisi na CCM kama chama wakaunga mkono katiba ya nchi.
Sasa suala la majimbo kipo kwenye Sera za Chadema kabla ya mchakato wa katiba.
CCM haiwezi kukubali kamwe.

Kuna mambo ni lazima Chadema wakubaliane na waasisi hasa masuala ya nchi kama Muungano na mikoa.
CCM walegeze kwenye masuala ya madaraka ya Rais mana hayo kwenye karne hii ni upuuzi kuwa na Rais mwenye madaraka makubwa kuliko Mungu. Urais usiwe ni umungu na kuweka vitu vyote chini ya miguu ya MTU mmoja.

Lazima tudai katiba bila kuweka misimamo na Sera za vyama kwenye katiba.

Kwanza Wapinzani hasa Chadema wakubali marekebisho ya katiba ya sasa ili tuwe na tume huru ya uchaguzi.
Hapo waweke shinikizi kubwa sana la kuwakataa kabisa wateule wa Rais kuwa wasimamizi wa uchaguzi.
Uchaguzi usimamiwe na viongozi wa dini na wale machifu wa kimila.
Mwenyekiti wa tume awe ni Jaji aliyetumikia nchi hii kwa miaka isiyopungua 30 na mwenye umri usiopungua miaka 55. Asiye mwanachama wa chama chochote.

Wasimamizi wa majimbo wawe ni watumiishi wastaafu wenye rekodi ya kutokuwa wanasiasa au wagombea wa siasa. Watu ambao hawana nafasi tena ya kuwaza uteuzi .
I

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Ccm eti al. Unajitahidi kutoa maelezo meeengi lakini pointi yako ni ile ile tu kuwa unaogopa katiba Mpya. Hence Your are CCM tumboni njaa.
 
Kongamano la Chadema au Katiba hili?Ni lini mtaacha huu usanii na utapeli? mnajua katiba ni mali ya wananchi? labda kama mnasaka maoni ya katiba ya Chadema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom