Tunaenda kwenye mikutano ya JK kuangalia Zecomedy. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaenda kwenye mikutano ya JK kuangalia Zecomedy.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mlachake, Oct 3, 2010.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kitendo cha Dr. Slaa Kwenda kwenye Mikutano yake ya Kampeni bila nguvu ya ziada ya wahamisishaji kama vile ze comedy. Kumempa Umaarifu mkubwa sana Hapa Iringa. Wengi wanasema hii inatokana na kujiamini kwake. Poleni sana CCM. Every move you are making is letting you down.
  1.using the comedy
  2.Carrying ppl in tracks
  3.Bashe & Mwakalebela
  4
  5
  6
   
 2. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  PHP:
  [quote="mlachake, post: 1119937"]Kitendo cha DrSlaa Kwenda kwenye Mikutano yake ya Kampeni bila nguvu ya ziada ya wahamisishaji kama vile ze comedyKumempa Umaarifu mkubwa sana Hapa IringaWengi wanasema hii inatokana na kujiamini kwakePoleni sana CCMEvery move you are making is letting you down
  1.using the comedy
  2.Carrying ppl in tracks
  3.Bashe 
  Mwakalebela
  4
  5
  6[/QUOTE]

  4. Kuwataja mafisadi papa kuwa ni wasafi na wachapa kazi.
  5. Kuwadanganya wananchi kuwa wanaenda kumsikiliza dr. Slaa kumbe ni CCM
  6. Kuwadanganya wananchi kuwa elimu bure haiwezekani "eti hela watapata wapi"
  kumbe wanakua inawezekana.
  7.
  View attachment 14633
   
Loading...