Tunaelekea Wapi Mh Rais wetu mpendwa John Magufuli Uteuzi huu wama DAS na DED unakinaisha

Tena siyo tu kwamba ukada wa chama cha mapinduzi umezingatiwa sana ktk teuzi zake hizi, bali pia ni kama alikuwa anawapa kipaumbele wale wanaoongea sana kwenye vyombo vya habari kukitetea chama. Waseme tu kama hizi nafasi ni kwa ajili ya kuimairisha chama kwenye mashina - kwa kutumia fedha za umma.
 
Kama hao wateuliwa watakuwa wakipokea maagizo ya moja kwa moja kutoka kwake mbona hata mimi na wewe tutakuwa vizuri tu. Mfano: Wakurugenzi nawapa mwezi mmoja shule ziwe na madawati. Ita afisa elimu mbebeshe zigo hilo, mzee vuta shisha.
Deadline ikikaribia, afisa elimu hajakamilisha unamtumbua kabla hujatumbuliwa.
 
Back
Top Bottom