Majs
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 229
- 485
Tunaelekea kuwa na jamii inayopoteza wanaume namaanisha idadi ya mashoga inaongezeka kwa kasi ya ajabu kibaya zaidi idadi ya walioko hadharani ni ndogo kuliko walioko sirini unamuona mwanaume ni gentlemen amechomekea amependeza kumbe amna kitu.
Atlest hii generation ya miaka 40/50 na kuendelea lkn hawa wanaobakia Mungu asimame ,miaka wanaume hawajali tena kuhusu mamlaka yao ni huzuni.
Ukweli ni kwamba hatuwezi kusimama na kuwa na jamii inayoeleweka bila kauli na mamlaka ya wanaume no matter what hata wanawake wasimame wapewe nafasi na nyadhifa zote duniani hakuna kitu kita make sense sababu hatuwezi kubishana na "nature" mwanaume ana nafasi yake na mwanamke hivo hivo.
Wazazi,walezi na taasisi za dini kama suala la malezi linashindikana kwa sasa basi wajitaidi kuombea hiki kizazi jamani.
Imagine hii ni karne ya 21 itakuwaje ya 25, kizazi ambacho mwanaume kiumbe alieumbwa na Mungu akampa uwezo wa kujiamini, kujikubali na kufanya jambo lolote liliko mbele yake ila leo hii anadiriki kutamka kwamba yeye ni mwanamke hii sio hali ya kawaida.
Mungu atusaidie