Tunachukuwa order za wanao taka kukodisha TREKTA alimiwe msimu huu

Toddy M

Senior Member
Dec 12, 2017
105
93
Kama unataka kulimiwa tafadhali twambie
Eneo lako liko wap na ukubwa wake kiasi gani
Kisha sisi tuta jua tunakufikiaje..

Ikiwezekana njoo dm utupe number zako na maelekezo yawunataka kulimiwa hekari ngapi.. Na lini upo tayari kwa kulimiwa..
 
Kama bado trator lako linapatikana nicheck kkwa no 0754022964
 
Back
Top Bottom