- Thread starter
- #421
Hiyo pump sina uzoefu nayo ila ni bora kichukua pump ya kudumbukiza yenye horse power kubwa , kisha kutengeneza mabwawa ya kukusanyia maji, hii gharama zake zitakuwa nafuu zaidi hata maintenance zake ni nafuu,Hiyo pump kwa uzoefu wako inaweza kufanya kazi ninayoitaka?Je pia Kama hizo za umeme pia zipo?