Tunachimba Visima na kufanya underground water survey kwa ghalama nafuu

Yes Kazi Kazi #TAWAPTanzania ni mabingwa wa uchimbaji wa visima vya maji na ufanyaji wa Underground water survey kwa ghalama nafuu kabisa. Tunatumia vifaa vya kisasa na vyenyr ubora wa hali ya juu.

Huduma zetu ni bora na ni ghalama nafuu kabisa.

Ukichimba na sisi tunakuweka bomba na pampu bure kabisa.

Tunachimba Visima Tanzania nzima.

0689 150 968_watsapp,call and text
0764 418 248_watsapp,call and text
0625 557 395_Call and text only
IMG-20220116-WA0002.jpg
IMG-20220116-WA0000.jpg
IMG-20220116-WA0001.jpg
 
Kazi kazi:

Tunaendelea kutoa huduma.

Tshs 60,000/= kwa mita moja kwa wakazi wa Dar Es salaam
Tshs 120,000/= kwa wakazi wa mikoani

Pia tunafanya Underground water Survey kwa ghalama nafuu kabisa.

Bei inajumuisha kuchimba,bomba (Pvc) na pampu.

0689 150 968
0764 418 248
0625 557 395
IMG-20220202-WA0000.jpg
 
Hongeraa, nataka chimba ila nasikia ukanda wa pwani kuna underground caves nyingi zinazosababisha water loss, huwa mwafanyaje ktk hiloo?

Kwa wastani natakiwa kuchimba mita ngapi kupata maji safi na salama kwa matumizi ya geto?
 
TAWA WATER PROFFESIONAL

Maji ya visima kuwa na chumvi yanasababishwa na uwepo wa kiasi kikubwa cha Sodiamu au Chrolide kwenye hayo maji.

Kiwango kikubwa cha Sodium au Chloride kinaweza kuwa na athali kwa matumizi ya wanyama au wanadamu.

Pia kiwango kidogo cha content ya Sodium na Chloride kinaweza kisiwe na madhara kwa matumizi ya wanyama na Binaadamu.

Zipo Mashine zenye uwezo wa kuondoa kabisa hizo Content na kuyafanya maji yako kuwa safi na salama.

Ushauri: kabla ya kuchimba kisima chako Fanya Underground water Survey ili kujuwa kama maji yapo,yapo umbali gani na ni maji ya aina gani pia.

Niwakumbushe pia tunachimba Visima na kufanya huo utafiti wa maji chini ya ardhi na ghalama zetu ni nafuu sana.

0689 150 968
0764 418 248
0625 557 395
FB_IMG_1581493589831.jpg
View attachment 2155135
 
Huko ni kukariri sio kila sehemu maji ya visima ya chumvi
N kanda ya pwani na ile kanda ya kati ukienda kanda zingine hazina chumvi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom