Tunachimba visiki na kupiga dawa ya kuua wadudu mashambani

bad spenko

Senior Member
Jun 22, 2020
125
137
Niende kwenye point moja kwa moja kama heading inavyoeleza.

Tutafute tukusafishie shamba, kiwanja ikiwa ni kuchimba visiki vilivyopo kwenye shamba au eneo lako.

Pia tunapuliza dawa za kuua magugu shambani wadudu mashambani kwa mimea yote.

Mawasiliano yetu 0659 465176


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa heka moja bei gani? Maeneo y Bagamoyo
Bei ziko tofauti inategemea ni kazi aina gan.
Kulima nyasi
Kupuliza dawa au
kuchimba visiki

Kam ni hiyo namba moja tunafanya kwa elfu 70
Kam ni hiyo namba mbili tunafanya kwa elfu 50
Na Kama ni hiyo namba tatu tunafanya kwa laki na 10
Kwa heka moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom