Tunabadiri muonekano wa Sofa


orturoo

orturoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
348
Likes
314
Points
80
Age
29
orturoo

orturoo

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
348 314 80
Nikinunua kitambaa changu kwa set ya 3:2:1:1 inakua pesa ngapi?
ingia youtube kabisa sio kila kitu ukimbilie kwa fundi,bei zao ziko kama manyunyu hazieleweki
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,692
Likes
2,405
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,692 2,405 280
Mkuu nina sofa zangu ni 2:2:1 nataka ziwe kama nime-import nataka nizifanyie repair kila kitu mpaka kubadili zile godoro bei gani
hiyo picha ya sofa Nitumie whatsapp 0692449416 maana gharama za kurepair huwa inategemeana na aina ya sofa

Yaani kulingana na aina ya sofa gharama huwa tofauti tofauti au ipost hata hapa hiyo aina yako ya sofa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USTADH ARABI SAIDI

USTADH ARABI SAIDI

Member
Joined
May 2, 2014
Messages
42
Likes
10
Points
15
Age
24
USTADH ARABI SAIDI

USTADH ARABI SAIDI

Member
Joined May 2, 2014
42 10 15
Mfano Nina kochi la watu watatu je inaweza kufanyiwa repair ikawa sofa bila ya kubadiri mbao zake na godoro?
Kama Inawezekana gharama ni kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USTADH ARABI SAIDI

USTADH ARABI SAIDI

Member
Joined
May 2, 2014
Messages
42
Likes
10
Points
15
Age
24
USTADH ARABI SAIDI

USTADH ARABI SAIDI

Member
Joined May 2, 2014
42 10 15
Hellow habarini ndugu na jamaa leo tumekuja na swara la lipea au kwa ruga nyingine kubadiri muonekano wa sofa yako..... Tunabadiri kitambaa tu kwa shilingi laki 4 kwa set nzima ya sofa kwa dizaini yoyote ya sofa na kazi tunafanyia majumbani hapo hapo. Whatsap no. 0692449416 au piga tupo hewani mda wote kitambaa ni juu yetu . Tupo dar es salam pia hata mikoani tunakuja View attachment 833264 View attachment 833265
Mfano Nina kochi la watu watatu je inaweza kufanyiwa repair ikawa sofa bila ya kubadiri mbao zake na godoro?
Kama Inawezekana gharama ni kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
16,432
Likes
3,239
Points
280
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
16,432 3,239 280
Wewe sio fundi ni dalali wa mafundi..
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,692
Likes
2,405
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,692 2,405 280

Forum statistics

Threads 1,251,866
Members 481,916
Posts 29,788,523