Tunabadiri muonekano wa Sofa


rubii

rubii

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
11,391
Likes
10,137
Points
280
rubii

rubii

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
11,391 10,137 280
Nikinunua kitambaa changu kwa set ya 3:2:1:1 inakua pesa ngapi?
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,692
Likes
2,405
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,692 2,405 280
Tupo kwenye punguzo
Set 950,000/=
fb_img_1534262657988-jpg.835943
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,692
Likes
2,405
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,692 2,405 280
Mita 30 ila unaweza unaweza kuongeza pia extra kwa mita ukachukua hata 31
Bado najipanga mkuu nitakuita tu unibadilishie kitambaa cha vijisofa vyangu. Hivi kwa set ya 3211 nitahitaji mita ngapi za kitambaa
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,692
Likes
2,405
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,692 2,405 280
Vitu vingine ni hivyo utapata kwa bei poa kulingana na hali yetu yakiuchumi inavyokwenda vile vile utajipatia tv show case
tapatalk_1542234804077-jpeg.934592
tapatalk_1542234833495-jpeg.934593
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,692
Likes
2,405
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,692 2,405 280
Baadhi ya couch zilizofanyiwa repair pia unaweza ukajipatia mpya kabisa....

Couch no.1=set (3.3.1.1) price 1.9M
Couch no.2=set (3.2.1.1) price 2.50M
Couch no.3=price 5.50K
Couch no.5=price 6K
Couch no.6=price 7K

NOTE:Hizo ni price tu za couch ambazo zipo show room..na si bei ya kurepair kwani bei ya kurepair ni cheap

KARIBUNI SANA
CMontact:0692449416
img-20190108-wa0006-jpeg.989110
img-20190108-wa0005-jpeg.989111
img-20190108-wa0004-jpeg.989112
img-20190108-wa0003-jpeg.989114
img-20190108-wa0002-jpeg.989115


Sent using Jamii Forums mobile app
 
jimmyfoxxgongo

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Messages
4,447
Likes
6,949
Points
280
Age
27
jimmyfoxxgongo

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2013
4,447 6,949 280
Mkuu nina sofa zangu ni 2:2:1 nataka ziwe kama nime-import nataka nizifanyie repair kila kitu mpaka kubadili zile godoro bei gani
 

Forum statistics

Threads 1,251,866
Members 481,916
Posts 29,788,523