Tunabadiri muonekano wa Sofa

Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,688
Likes
2,390
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,688 2,390 280
Hellow habarini ndugu na jamaa leo tumekuja na swara la lipea au kwa ruga nyingine kubadiri muonekano wa sofa yako..... Tunabadiri kitambaa tu kwa shilingi laki 4 kwa set nzima ya sofa kwa dizaini yoyote ya sofa na kazi tunafanyia majumbani hapo hapo. Whatsap no. 0692449416 au piga tupo hewani mda wote kitambaa ni juu yetu . Tupo dar es salam pia hata mikoani tunakuja
fb_img_1534026638204-jpg.833264
fb_img_1534026646530-jpg.833265
 
Salih

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Messages
518
Likes
191
Points
60
Salih

Salih

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2013
518 191 60
Hellow habarini ndugu na jamaa leo tumekuja na swara la lipea au kwa ruga nyingine kubadiri muonekano wa sofa yako..... Tunabadiri kitambaa tu kwa shilingi laki 4 kwa dizaini yoyote ya sofa na kazi tunafanyia majumbani hapo hapo. Whatsap no. 0714988215 au piga tupo hewani mda wote . Tupo dar es salam View attachment 833264 View attachment 833265
Kama hujakosea hili tangazo lako basi hauko serious aisee!
 
K

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
1,614
Likes
1,929
Points
280
Age
52
K

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
1,614 1,929 280
Kama hujakosea hili tangazo lako basi hauko serious aisee!
hata mimi nimeona labda kitambaa juu yake. kinyume cha hapo kutakuwa ba fundi kaja kulipea masofa kwao sasa dogo kageuka dalali
 
Mzee Wa Kale Kabisa

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Messages
468
Likes
464
Points
80
Mzee Wa Kale Kabisa

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2018
468 464 80
Kibadili kitambaa laki 4 ahahahaha hauko serious, hiyo si bei ya sofa mpya
 
Llio 002

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
973
Likes
1,112
Points
180
Llio 002

Llio 002

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2015
973 1,112 180
Hellow habarini ndugu na jamaa leo tumekuja na swara la lipea au kwa ruga nyingine kubadiri muonekano wa sofa yako..... Tunabadiri kitambaa tu kwa shilingi laki 4 kwa dizaini yoyote ya sofa na kazi tunafanyia majumbani hapo hapo. Whatsap no. 0714988215 au piga tupo hewani mda wote . Tupo dar es salam View attachment 833264 View attachment 833265
Mkuu kitambaa kizuri kabisa kwa mita moja wanauza kwa shillingi ngapi? Na kwa sofa la L la watu watano hadi 6 linaingia mita ngapi?
 
J

james2012

Member
Joined
Dec 9, 2016
Messages
8
Likes
1
Points
5
Age
48
J

james2012

Member
Joined Dec 9, 2016
8 1 5
4 K ni pamoja na kitambaa au hiyo no bei ya ufundi.? Mana bei ya vitambaa inatofautiana kulingana na ubora wake. Au vitambaa vyote ni mwendo wa bei moja
 
K

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
1,614
Likes
1,929
Points
280
Age
52
K

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
1,614 1,929 280
4 K ni pamoja na kitambaa au hiyo no bei ya ufundi.? Mana bei ya vitambaa inatofautiana kulingana na ubora wake. Au vitambaa vyote ni mwendo wa bei moja
vipo vinauzwa kwa mita vipo hadi mita elfu saba. ndio maana nikauliza
 
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
1,941
Likes
2,421
Points
280
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
1,941 2,421 280
Badili mwandiko wako kwanza tujue kweli wee ni fundi....zaidi ya hapo nikupe pole
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,688
Likes
2,390
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,688 2,390 280
4 K ni pamoja na kitambaa au hiyo no bei ya ufundi.? Mana bei ya vitambaa inatofautiana kulingana na ubora wake. Au vitambaa vyote ni mwendo wa bei moja
Pamoja na kitambaa mkuu
 
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
7,389
Likes
17,355
Points
280
Freyzem

Freyzem

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
7,389 17,355 280
Inakuwa kwa kitambaa tu mkuu na kitambaa ni juu yangu
Vipi kama nitanunua kitambaa nikipendacho mimi kwa ubora ninaoutaka?
Maana vipo vitambaa vya hovyo sana, sasa ubora wa kitambaa utakachoweka wewe usiponiridhisha je?
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,688
Likes
2,390
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,688 2,390 280
Mkuu kitambaa kizuri kabisa kwa mita moja wanauza kwa shillingi ngapi? Na kwa sofa la L la watu watano hadi 6 linaingia mita ngapi?
Ni alfu 5-6 kwa kitambaa,na kwa ngozi no 9000,10,000,12,000 mpaka 13,000 inategemeana
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,688
Likes
2,390
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,688 2,390 280
Vipi kama nitanunua kitambaa nikipendacho mimi kwa ubora ninaoutaka?
Maana vipo vitambaa vya hovyo sana, sasa ubora wa kitambaa utakachoweka wewe usiponiridhisha je?
Unaweza ukanunua kitambaa ukipendacho mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,250,497
Members 481,367
Posts 29,735,645