Tunaanzaga hivihivi... wakitaka wa ukweli tunaishia kushangaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaanzaga hivihivi... wakitaka wa ukweli tunaishia kushangaa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Janjaweed, Jun 6, 2012.

 1. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Naona jamaa anaanza kugawa demo... Mkoloni akipenda anarudi tuomba apewe wale wa ukweli!! tembo.JPG
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,985
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  halafu unaambiwa alipandishwa ndega sasa alipandaje na ukubwa wake wote huo.
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  very true.... na ikifika hapo sasa ndio tunaanza anao-anao, mara wizara, mara wawindaji nk
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,985
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  si umeona wale mtu na mume wameuwa na majangili? unafikiri hawaoni maana yake ? sisi tumelala tu acha wachukue wpote tubaki jangwani.
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK alisema hao faru wapewe ulinzi mkali kuliko yeye, huu ni usanii grade A.
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  my worry jamaa wasije wakaomba na Pinda kabisa wamchukue
   
 7. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  giraffes.jpg
  Twiga wetu haooooooooo......
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,985
  Likes Received: 1,909
  Trophy Points: 280
  kwa raha zao babu weeeeeeee! wanapulizwa na kiyoyonzi hukuwanakwea pipa. wewe mtanzani wala hujui ndan inafananaje
   
 9. r

  rubby Senior Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu eti mtoto wa mkulima! Kuuza nchi yetu? Tena atakaa kwenye siti unacheza na wakoloni nini.
   
 10. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mzungu nitakayemtukuza ni atakayewanunu yeye na wassira
   
 11. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hilo nalo neno.
   
Loading...