Tunaandaa documents mbalimbali kwa ajili ya wajasiriamali

Biashara2000

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
636
540
Habari

Tunaandaa documents mbalimbali kwa ajili ya wajasiriamali. Wajasiriamali wengi nchini wamekuwa wakitafuta huduma hizi kwa gharama nafuu ila wamekuwa wakifanyiwa kwa bei kubwa kutoka kwa watu mbalimbali. Wajasiriamali wengi wameamua kufanya mambo yao kitaalamu zaidi ili kuongeza tija na faida katika biashara zao. Wameamua kukuza biashara zao na si kufanya biashara kizamani kusiko na faida inayoonekana.

Walengwa wetu ni wajasiriamali wadogo, wakubwa, makampuni mbalimbali na watu binafsi. Documents tunazoandaa ni kama zifuatazo:

1. Business plans
2. Memorandum and articles of association kwa anayetaka kuanzisha kampuni
3. Project proposals kwa ajili ya kuombea pesa benki au saccoss
4. Feasibility study katika baadhi ya miradi

Delivery yake ni ya muda mzuri na kwa ubora wa juu.

0758 308193

UPDATE 03/05/22

Kuanzia tarehe hii ya update nimeanza kuandika business plans na proposal kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wanaotaka kuanzisha miradi midogo midogo ya kujikimu na wanataka kuombea mikopo na mitaji kutoka taasisi za fedha au serikalini. Miradi modogo midogoi mfanoi kutengeneza mkaa mbadala, ushonaji, kutengeneza juice mbalimbali, mama lishe, biashara za usaciri, maduka nk. Business proposal 1 ya aina hii miradi midogo midogop ni tsh 50000 kwa proposal. Hizi ni biashara za mtaji chini ya tsh 2M.
 
DUH!!! BP KWA 50,000 ( hope it is flat rate regardless how big the business and the complexity of the entire business)
 
Habari zenu

Natumaini mnaendelea vizuri na maisha na mategemeo yenu ya kumiliki kiwanda cha size yoyote.

Mimi kama nilivyoeleza hapo juu ninahusika na kuandika proposal paper kwa ajili ya yeyotr anayetaka kuomba mkopo katika taasisi yoyote inayohusika na utoaji mikopo iwe ni midogo hadi mikubwa. Kwa kuwa kazi yangu ingine ni kuunda mashine za aina mbalimbali kwa ajili ya viwanda vidogo na vikubwa, nimegundua watu wengi wanalalamika kikwazo kikuu cha kuanzisha kiwanda cha ukubwa wowote ni MITAJI. Na mitaji hii ni ngumu kuipata ila mpaka upate mkopo. Na mkopo huupati tu hivihivi hadi uwashawishi kwamba una uwezo wa kuurudisha. Kuwa na collateral pia ni usumbufu hivyo ukiwa na document inayoelezea vizuri jinsi utakavyorudisha pesa yao, inarahisisha kuwashawishi watoa mikopo kukupa mkopo na ukizingatia siku hizi pia kuna mikopo inatolewa bila kuwa na dhamana km ile ya CBA Bank

Mimi ninaandika mchanganuo wa biashara kuwawezesha wakopesshaji kujua ni kiasi gani wanatoa lakini ni jinsi gani pesa yao inarudi. Proposal ninazoandika zinahusisha mchanganuo wa gharama na maelezo mengine yanayohusu kupata mkopo wa kuanzisha kiwanda kidogo hadi vikubwa mfano viwanda vidogo vya kutengeneza Sabuni, Mkaa mbadala, Mikate, Chaki, kuchakata madini ya Copper, Sukari, Vitambaa nk au viwanda vikubwa vya kutengeneza bidhaa mbalimbali

Gharama ya kuandikiwa proposal paper inategemea na ukubwa wa mtaji wa hicho kiwanda unachotaka kuombea mkopo.
Paper hiyo inahusisha:
-Maelezo ya biashara
-Maelezo ya mhusika
-Maelezo ya kiwango cha mtaji
-Mchanganuo wa mgawanyo wa mtaji
-Maelezo ya vifaa na mashine zitakazohitajika kununuliwa
Mchanganuo wa matumizi
-Mchanganuo wa faida
-Mchanganuo wa urudishwaji wa mkopo
-Na maelezo mengine muhimu

1. Mtaji kuanzia Tsh. 100,000 - 500,000 - Paper unaandikiwa kwa Tsh. 50,000
2. Mtaji kuanzia Tsh. 501,000 - 2,500,000 - Paper unaandikiwa kwa Tsh. 150,000
3. Mtaji kuanzia Tsh.2,501,000 - 10,000,000 - Paper unaandikiwa kwa Tsh.250,000
4. Mtaji kuanzia Tsh. 10,001,000 - 50,000,000 - Paper unaandikiwa kwa Tsh. 350,000
5. Mtaji kuanzia Tsh. 50,001,000 - kuendelea- Paper unaandikiwa kwa Tsh. 500,000

Watu wengi waliofanikiwa wamefanikiwa kwa kupitia mikopo. Wafanyabiashara waliobaki nyuma wanalalamika mitaji lakini wenye kuthubutu ndio wanaotumia mikopo. Uzuri ni kuwa siku hizi taasisi nyingi za mikopo wanafikiria kutoa mikopo bila collateral hivyo hii ndio nafasi ambayo watu wengi wanaipenda. Usidanganywe, hakuna biashara inayoanzishwa isiyohitaji mtaji wa fedha

Kundi la walengwa wa kuandikiwa document hizi ni mtu yeyote anayetaka kuanzisha kiwanda kidogo au kikubwa, vikundi vya vijana, wanawake, SACCOS, wafanyabiashara, NGOs nk

Wasiliana nasi. Namba iko hapo juu
 
Unaweza kuorodhesha angalau kampuni au taasisi ulizo kwisha waandikia na wakafanikiwa
 
Some projects are very complex , from plaaning to actual feasibility study, umesema project that worth more than 50m ni sh laki 5, are you sure the amount to charge will meet your costs to find/search and compile all information to help you write the writeup? Coz sio kila writeup is table based paper work, zingine zinahitaji literature review, data collection on field visit nk. Ila kama una formula nzuri kwa mradi say wa 600m kucharge only 500k, then its OK.
 
Some projects are very complex , from plaaning to actual feasibility study, umesema project that worth more than 50m ni sh laki 5, are you sure the amount to charge will meet your costs to find/search and compile all information to help you write the writeup? Coz sio kila writeup is table based paper work, zingine zinahitaji literature review, data collection on field visit nk. Ila kama una formula nzuri kwa mradi say wa 600m kucharge only 500k, then its OK.

Ni kweli unachoongea. Lakini kwa kuwa sisi tunaelewa hali ya watanzania wengi ilivyo kifedha sie tumeamua kuweka bei nzuri ili kila anayetumia huduma zetu apate worth the price. Pia kutokana na hizo field nilizoorodhesha hapo juu nina uzoefu nazo lakini pia kwa bei hiyo, naweza fanya reseach hata k, sio table based writeup
 
Unaweza kuorodhesha angalau kampuni au taasisi ulizo kwisha waandikia na wakafanikiwa

Umeuliza swali zuri sana. Na hii inasaidia sana kujua nani ni mwandishi mzuri wa hizi write up kutenganisha na wanaoandika kwa kubabaisha. Sie tuna uzoefu katika shughuli hizi na sisi tunaandika tu kuhusiana na zile sekta ambazo tuna uzoefu nazo. Sio waandishi wa proposal kuhusu sekta yoyote tu ilimradi tumwandikie mtu ili tupate pesa.

Mfano mmojawapo wa watu tuliowaandikia writeup na ikawasaidia kupata mkopo na kuweza kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza sukari ni Mr. Daniel Frederick na mkewe Kokutona walioko kagera ambao watakuwa wananunua miwa kutoka katika wakulima wa miwa na wao kutumia mashine yao ndogo ya kukamulia juice ya miwa waliyoitengeneza SIDO kisha kutumia ile juice kuigeuza kuwa syrup kisha kuipitisha katika centrifuge na granulator ndogo walizonunua kwa mkopo waliopewa na kupata sukari. Kwahiyo ukicha mashine ya kukamulia juice ya miwa waliyokuwa nayo, waliamua kununua Centrifuge na Granulator ili wabadilishe biashara yao ya kutengeneza juice ya miwa na kuwa ya kutengeneza sukari kabisa
Mashine kama hizo za sukari zipo za size tofauti tofauti ndogo hadi kubwa hivyo hata wenye mitaji ya wastani wanaweza anzisha viwanda kama hivyo.

Pia hizi write up sio kwa ajili ya kuombea mikopo benki tu lakini pia unaweza itumia kuombea mikopo na mitaji kutoka shirika lolote linalowezeha wajasiriamali, halmashauri, saccos, vikundi, kwa watu binafsi au hata wewe mwenyewe una kiasi flani cha pesa unafikiria kuinvest basi write up hizi zinaweza kukupa mwongozo wa kuendesha biashara yako ki professional. Sio lazima uiombee mkopo lakini pia unaweza kuituia ikupe mwongozo.

Kwa wale wenye uthubutu wanaotaka kuanzisha biashara ya kutengeneza sukari au vitu ingine huu ndio wakati wake na uzuri hizo mashine nilitaja hapo juu zinauza bei ndogo kuanzia 2000 na kuendelea. Sasa kazi kwenu wenye uthubutu kwasababu biashara pia sio ya kila mtu ni kwa wale wenye guts za kujaribu

Wenye biashara za kukamua juice za miwa tutafutane 0758 308193
 
Je, nikitaka uniandikie mchanganuo wa biashara namna ya kugeuza kiwanda changu cha kutengeneza juice y miwa kiwe kiwanda cha sukari, utanifanyia bei gani? Mashine ya kukamulia juisi tayari ninayo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom