“Tunaamua tuseme ukweli.” Hii kauli ya Ummy Mwalimu inafikirisha sana

Ajabu sana kwamba humu Jf hakuna hata member mmoja ambaye ana ndugu katika hao wagonjwa wengi wa corona tunaofichwa na serikali wala hakuna member aliyefiwa na ndugu wala rafiki kwa kifo chenye kuhusishwa na corona. Yani humu wote tunasikia tu wagonjwa wa corona ni wengi na vifo ni vingi.
Kuna nyumba ya jirani wako karantini sasa hivi walichukuliwa mchana.. hadi usiku walikua wamepewa sim wakatupdate kila mmoja anachumba chake karantini.. ugonjwa upo sio kila mtu anaweza sema kilichotokea ata kama ikitokea wamesema unahakika gani umekisoma.. vipi kama maadmin wanafuta nyuzi za hivo!

Ngoja siku ukikugongea hodi nyumbani kwako ndio utaamini vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha yenu ni aseme total lockdown? Hiyo haiwezekani maana hata majirani zetu hapo malawi inaelekea kukataliwa..
Hiyo ndo approved scientific solution ya kuzuia maambukizi zaidi Ila Kama yeye ana other solutions,aje atuambie serikali inafanya nini kupambana na ugonjwa huu na kuhakikisha watanzania tupo salama,hilo la kutuambia tuombe hilo tunalijua na yeye anajua kuwa serikali yetu haina dini Ila watanzania Wana dini zao.we want to hear from our government Yale serikali inafanya na si kutuambia haya tunayoyajua na tunayoyafanya everyday
 
Umekariri.
Lockdown sio approved scientific solution but a mechanism to buy time as scientists battle their brains out for a better solutions...
Comment yako pia inaonyesha, you sre in for some argument, you wont take any solution offered sababu umeona hii kama nafasi ya kuichallenge serikali...
 
Asante mkuu acha tuchukue solution ya kunawa mikono,kuchapa kazi na kusali ili tusionekane tunaichallenge serikali tukufu kwa ajiri ya wateule
 
Raha yenu ni aseme total lockdown? Hiyo haiwezekani maana hata majirani zetu hapo malawi inaelekea kukataliwa..
Mkuu Kama unadhani lockdown ni kwa faida yangu tu au chadema,wewe endelea kuchapa kazi,mwambie na yeye atoke chato aje achape kazi mbona shughuli zipo nyingi sana wakati huu tunapoelekea uchunguzi,he has to finish strong mwambie atoke aanze ziara
 
Comments zako zinanionyedha unatumia kivuli cha lockdown/ corona ila yuma ya pazia una chuki kali sana kwa rais na umepata pa kuitolea. Nafikiri wewe mi muathirika wa maamuzi yake mazuri kwa taifa hili.
 
Kuna nyumba ya jirani wako karantini sasa hivi walichukuliwa mchana.. hadi usiku walikua wamepewa sim wakatupdate kila mmoja anachumba chake karantini.. ugonjwa upo sio kila mtu anaweza sema kilichotokea ata kama ikitokea wamesema unahakika gani umekisoma.. vipi kama maadmin wanafuta nyuzi za hivo!

Ngoja siku ukikugongea hodi nyumbani kwako ndio utaamini vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Comment mbofu mbofu hii.
 
Comments zako zinanionyedha unatumia kivuli cha lockdown/ corona ila yuma ya pazia una chuki kali sana kwa rais na umepata pa kuitolea. Nafikiri wewe mi muathirika wa maamuzi yake mazuri kwa taifa hili.
Mkuu wewe ni kiongozi msaidizi wa malaika mtarajiwa? Du una uwezo mkubwa wa kujua yaliyo katika moyo wa mtu aisee
 
Attachments

  • IMG-20200418-WA0000.jpg
    IMG-20200418-WA0000.jpg
    64.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom