Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?

Miaka sitini ya uhuru ccm bado inasimama jukwaani na kusema (hebu bana pua unaposoma hapa)?""ichague ccm tutawaletea maji na barabara"

Miaka sitini bado mnasera za kipuuzi kiasi hiki viongozi mpo serious kweel
SGN_11_26_2021_1637934876563.jpg
 
Hatusherehekei Uhuru wa jina, nchi ni ardhi hata tukiita Magufuli itabaki kuwa sherehe ya miaka 60 ya nchi ya Magufuli.
Kuna mahali kwenye hii hoja umeona watu wanajadili kusherehekea uhuru wa jina?.Au hujaelewa mada?
 
Mkuu acha upotoshaji, Tanganyika IPO, 26/4 ndo Mambo ya Tanzania,
Tuache siasa ktk Mambo muhimu km haya
Elimu ya uraia kuhusu muungano, kifo cha Tanganyika, kuzaliwa kwa Tanzania, muundo wa muungano na nafasi ya Zanzibar, bado inahitajika sana.
P
 
Sawa Ni Uhuru wa Tanganyika mgeni rasmi anatakiwa kuwa waziri mkuu Kassim Majaliwa sababu Uhuru wa nchi hizi mbili sio Jambo la muungano .Raisi wa muungano hayamhusu .Yeye anatakiwa kuwa mgeni rasmi sherehe ya muungano tu na sio sherehe ya Uhuru wa Tanganyika au Zanzibar

Una hoja
Kwani majaliwa siyo waziri mkuu wa Muungano?
 
Sawa Ni Uhuru wa Tanganyika mgeni rasmi anatakiwa kuwa waziri mkuu Kassim Majaliwa sababu Uhuru wa nchi hizi mbili sio Jambo la muungano .Raisi wa muungano hayamhusu .Yeye anatakiwa kuwa mgeni rasmi sherehe ya muungano tu na sio sherehe ya Uhuru wa Tanganyika au Zanzibar

Una hoja
Hapa ndipo naiona hoja ya Mtikila.
Serikali 3.
1.Serikali ya Jamhuri ya Muungano
2.Serikali ya Tanganyika,
3.Serikali ya Zanzibar.

Waziri Mkuu wa Muungano.
Waziri kiongozi Tanganyika,
Waziri kiongozi Zanzibar.

Sherehe za muungano mgeni rasmi Rais wa JMT.
Sherehe za Uhuru mgeni rasmi Rais wa Tanganyika/Waziri kiongozi wa Tanganyika.
Huwa tunalazimisha mfumo ambao hata historian inakataa
 
Kabla ya muungano ilikuwepo Tanganyika.
Je kabla ya muungano Zanzibar iliitwaje?
  1. Tanganyika ndio nchi iliyopata uhuru wake, 9 Desemba, 1961. 1964 Tanganyika ikaungana na Zanzibar kwa muungano wa union wa nchi mbili kuwa nchi moja, hivyo tulipoungana, tuliitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jina la Tanzania lilikuja mwezi September 1964.
  2. Ile siku tunaungana, utaifa wa Jamhuri ya Tanganyika (sovereignty) na utaifa wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, zote zilikwisha, na kuwa sio nchi tena, hiyo sovereignty ilikabidhiwa kwa nchi mpya ya Tanganyika na Zanzibar.
  3. Tanzania nayo pia ilipitishwa rasmi kule UN kama Taifa huru, la Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mnamo tarehe 14 May, 1964 kufuatia kuwasilishwa kwa taarifa rasmi ya maandishi, Note Verbale toka kwa Balozi wa Tanganyika kwenye Umoja wa Mataifa, wakati huo, Chief Arasto Mang'enya na kuitambulisha United Republic of Tanganyika and Zanzibar. Wakati huo, jina la Tanzania halijaanza kutumika. Mwezi June Balozi Mang'enya aliteuliwa rasmi kuwa balozi wa kudumu wa Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar kwenye Umoja wa Mataifa, na mwezi September ndipo akawasilisha rasmi hati zake za utambulisho na jina rasmi la United Republic of Tanzania kuwasilishwa UN.
  4. Nchi ikiishapoteza sovereignty inakuwa sio nchi tena, hivyo baada ya kupatikana jina la Tanzania, jina la Tanganyika likafutwa, likafa, likazikwa. Eneo la iliyokuwa Tanganyika sasa ndio Tanzania Bara, na iliyokuwa Zanzibar iliendelea kuitwa Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar kwa jina ila sio nchi.
  5. Sasa kwa vile Tanganyika haipo, tunaposhereherekea uhuru ni kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika, ila inayosherekewa ni shrehe ya Tanzania iliyopo na sio maadhimisho ya sherehe ya uhuru wa Tanzania, kumbukumbu ndio ya Tanganyika lakini maadhimisho ni ya Tanzania.

Kama utaifa WA Tanganyika ulikufa ni vizur but utaifa wetu bado upo na upo imara
1 Tuna Rais wetu
2 Tuna bendera yetu
3 Tuna Baraza la wawakilishi
4 Tuna katiba yetu
5 Tuna Mahakama yetu
6 Tuna Wimbo wetu WA Taifa
7 Tuna Vitamhulisho vyetu

Pia habari njema Kwasasa na kama hujui tumeanza kukopa nje direct Sisi kama Sisi

NOTE
Kama Nyerere alishindwa kutupora Utaifa wetu Mayala utateseka Sana huna uwezo wakutufanya chochote shuhulikia kutafuta mkate wako WA kila siku
 
Tanganyika Nyerere aliiflashi chooni mwaka 1964. Haipo tena. Angalia kwenye Atlas leo, Tanganyika haipo tena, angalia Google maps huoni Tanganyika.
Kwamba Atlas na google map ndio vielelezo vya kuonyesha ipo au haipo?
 
Ni Uhuru wa Tanzania bara

Jina lilibadlishwa kisheria kuwa Tanzania Kama wewe unavyoweza badili jina tukasema Leo birthday ya Juma jina lako jipya baada ya kuslimu ukubwani na kubadili jina la asili la Chapombe na kuitwa Juma badala ya kuendelea nalo jina la Chapombe msikitini

Ni Uhuru wa Tanzania bara

Ila Zanzibar huwa hawataki Hilo wao huadhimisha uhuru.wa Zanzibar sio wa Tanzania visiwani!

Linatakiwa kuongeza neno bara nyuma kuwa ni uhuru wa Tanzania bara
Linatakiwa kuongezwa neno; na nani? Ongezeni mpendavyo wapuuzi!
 
Mbona mnatuchanyanya hivi mkisema Miaka 60 ya UHURU wa TANZANIA mnakusudia hii Tanzania iliyozaliwa 64 au kuna nyengine?

Hivi waandishi wa habari na wanasiasa mnaosema UHURU WA TANZANIA hivi kweli hamjui historia yenu? Kwanini munainyanyapaa TANGANYIKA kiasi hiki?

Historia itabakia ni historia tuu hata mkitumia nguvu kiasi gani kuipotosha

Au Mimi ndio sifahamu haya mambo? Kama NI hivyo nielewesheni ni Tanzania gani iliyopata UHURU 1961?

Ni haya tu
Mimi nacho jua ni Uhuru wa miaka 60 ya Kingai, Mahita na Ccm kuteka kuua raia na kuwafanya malofa na maskini wa kutupwa.
 
  1. Tanganyika ndio nchi iliyopata uhuru wake, 9 Desemba, 1961. 1964 Tanganyika ikaungana na Zanzibar kwa muungano wa union wa nchi mbili kuwa nchi moja, hivyo tulipoungana, tuliitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jina la Tanzania lilikuja mwezi September 1964.
  2. Ile siku tunaungana, utaifa wa Jamhuri ya Tanganyika (sovereignty) na utaifa wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, zote zilikwisha, na kuwa sio nchi tena, hiyo sovereignty ilikabidhiwa kwa nchi mpya ya Tanganyika na Zanzibar.
  3. Tanzania nayo pia ilipitishwa rasmi kule UN kama Taifa huru, la Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mnamo tarehe 14 May, 1964 kufuatia kuwasilishwa kwa taarifa rasmi ya maandishi, Note Verbale toka kwa Balozi wa Tanganyika kwenye Umoja wa Mataifa, wakati huo, Chief Arasto Mang'enya na kuitambulisha United Republic of Tanganyika and Zanzibar. Wakati huo, jina la Tanzania halijaanza kutumika. Mwezi June Balozi Mang'enya aliteuliwa rasmi kuwa balozi wa kudumu wa Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar kwenye Umoja wa Mataifa, na mwezi September ndipo akawasilisha rasmi hati zake za utambulisho na jina rasmi la United Republic of Tanzania kuwasilishwa UN.
  4. Nchi ikiishapoteza sovereignty inakuwa sio nchi tena, hivyo baada ya kupatikana jina la Tanzania, jina la Tanganyika likafutwa, likafa, likazikwa. Eneo la iliyokuwa Tanganyika sasa ndio Tanzania Bara, na iliyokuwa Zanzibar iliendelea kuitwa Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar kwa jina ila sio nchi.
  5. Sasa kwa vile Tanganyika haipo, tunaposhereherekea uhuru ni kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika, ila inayosherekewa ni shrehe ya Tanzania iliyopo na sio maadhimisho ya sherehe ya uhuru wa Tanzania, kumbukumbu ndio ya Tanganyika lakini maadhimisho ni ya Tanzania.
P
Asante P kwa ufafanuzi mzuri.
Huu ni ushahidi tosha kuwa mgeni rasmi wa sherehe hizi za Uhuru kiitifaki na kimamlaka hayupo,Mtikila alimjua
 
Kama utaifa WA Tanganyika ulikufa ni vizur but utaifa wetu bado upo na upo imara
Siku ambayo utaifa wa Tanganyika ulikufa, ndio siku hiyo hiyo utaifa wa Zanzibar ulikufa, ila kwa Tanganyika, utaifa ulipokufa, na jina la Tanganyika tukaliua, lakini kwa upande wa Zanzibar, ulikufa tuu utaifa lakini jina la Zanzibar, likabaki.
1 Tuna Rais wetu
2 Tuna bendera yetu
3 Tuna Baraza la wawakilishi
4 Tuna katiba yetu
5 Tuna Mahakama yetu
6 Tuna Wimbo wetu WA Taifa
7 Tuna Vitamhulisho vyetu
Mkuu dega , kila ninapokutana na watu kama nyinyi, neno langu kwenu ni moja tuu, mnahitaji elimu ya uraia, hivyo hapo ulipo hata wewe huelewi utaifa ni nini, hivyo unahitaji kueimishwa what is sovereignty and what is a state, Zanzibar sio nchi, it is not a state. Nchi kuwa taifa, ni zaidi ya hivyo vyote ulivyovitaja.
Siku ukija Dar, nitafute nikulete nyumbani kwangu, naishi eneo la kwa Mtogole, nimepanga nyumba upande mzima na upande wangu una geti na mlinzi mwenye sare ya mgambo.
  1. Getini nimeanfika nchi ya PPR
  2. Mimi natambuliwa kama rais wa PPR. yule askari ananipigia saluti, na mimi ndiye amiri jeshi wa vikosi vya PPR.
  3. Ukiingia ndani unakutana na picha yangu kubwa ukutani imeandikwa rais wa PPR.
  4. Kwangu kuna bendera yangu ya PPR na inapepea mezani kwangu.
  5. Tuna baraza la PPR.
  6. Tuna katiba ya PPR
  7. Tuna mahakama ya PPR
  8. Pale ndani tuna wimbo wa PPR.
  9. Tuna kitambulisho cha PPR.
  10. Mimi najiita rais wa PPR na aneo la ndani kwangu ni nchi ya PPR.
Vitu vyote hivyo haviifanya nchi kuwa ni nchi kweli ndio maana kwa maana halisi ya nchi, Zanzibar sio nchi, it is not a state kwasababu haina state organs, haina polisi, jeshi wala usalama. Zanzibar haina sarafu, Zanzibar ni nchi ndani ya nchi, na ndani ya muungano. Muungano wetu kimataifa, ni muungano wa nchi moja tuu, JMT.
Pia habari njema Kwasasa na kama hujui tumeanza kukopa nje direct Sisi kama Sisi
Yes Zanzibar imeruhusiwa kukopa kama Zanzibar, lakini kwa vile Zanzibar sio nchi kimataifa, mikopo hiyo yote ya Zanzibar, ni lazima iidhinishwe na JMT, na kudhaminiwa na JMT, hii inaamanisha kama Zanzibar itashindwa kulipa, haiwezi kudaiwa, anayedaiwa ni JMT. Hivyo Zanzibar haiwezi kupata mkopo wowote wa kimataifa bila idhini na kudhaminiwa na JMT!.
NOTE
Kama Nyerere alishindwa kutupora Utaifa wetu Mayala utateseka Sana huna uwezo wakutufanya chochote
Wanzanzibari waliokuwepo wakati ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wanajua the role of Nyerere kwenye aftermath ya mapinduzi, kusema ukweli kama sio Nyerere, kuna watu wasingezaliwa na hata ukucha usingeonekana!. Mshukuruni sana Nyerere!. Its true mimi sina uwezo wa kuwafanya kitu chochote Wazanzibar, ila amini usiamini, hata mimi ukisikia nimekuja Zanzibar, huwa nafuata starehe fulani fulani, naomba nisiseme ni starehe gani, lakini Zanzibar nakuja sana, hivyo ongea nami kwa heshima, usikute mimi ni shemejio!.
P
 
Siku ambayo utaifa wa Tanganyika ulikufa, ndio siku hiyo hiyo utaifa wa Zanzibar ulikufa, ila kwa Tanganyika, utaifa ulipokufa, na jina la Tanganyika tukaliua, lakini kwa upande wa Zanzibar, ulikufa tuu utaifa lakini jina la Zanzibar, likabaki.

Mkuu dega , kila ninapokutana na watu kama nyinyi, neno langu kwenu ni moja tuu, mnahitaji elimu ya uraia, hivyo hapo ulipo hata wewe huelewi utaifa ni nini, hivyo unahitaji kueimishwa what is sovereignty and what is a state, Zanzibar sio nchi, it is not a state. Nchi kuwa taifa, ni zaidi ya hivyo vyote ulivyovitaja.
Siku ukija Dar, nitafute nikulete nyumbani kwangu, naishi eneo la kwa Mtogole, nimepanga nyumba upande mzima na upande wangu una geti na mlinzi mwenye sare ya mgambo.
  1. Getini nimeanfika nchi ya PPR
  2. Mimi natambuliwa kama rais wa PPR. yule askari ananipigia saluti, na mimi ndiye amiri jeshi wa vikosi vya PPR.
  3. Ukiingia ndani unakutana na picha yangu kubwa ukutani imeandikwa rais wa PPR.
  4. Kwangu kuna bendera yangu ya PPR na inapepea mezani kwangu.
  5. Tuna baraza la PPR.
  6. Tuna katiba ya PPR
  7. Tuna mahakama ya PPR
  8. Pale ndani tuna wimbo wa PPR.
  9. Tuna kitambulisho cha PPR.
  10. Mimi najiita rais wa PPR na aneo la ndani kwangu ni nchi ya PPR.
Vitu vyote hivyo haviifanya nchi kuwa ni nchi kweli ndio maana kwa maana halisi ya nchi, Zanzibar sio nchi, it is not a state kwasababu haina state organs, haina polisi, jeshi wala usalama. Zanzibar haina sarafu, Zanzibar ni nchi ndani ya nchi, na ndani ya muungano. Muungano wetu kimataifa, ni muungano wa nchi moja tuu, JMT.

Yes Zanzibar imeruhusiwa kukopa kama Zanzibar, lakini kwa vile Zanzibar sio nchi kimataifa, mikopo hiyo yote ya Zanzibar, ni lazima iidhinishwe na JMT, na kudhaminiwa na JMT, hii inaamanisha kama Zanzibar itashindwa kulipa, haiwezi kudaiwa, anayedaiwa ni JMT. Hivyo Zanzibar haiwezi kupata mkopo wowote wa kimataifa bila idhini na kudhaminiwa na JMT!.

Wanzanzibari waliokuwepo wakati ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wanajua the role of Nyerere kwenye aftermath ya mapinduzi, kusema ukweli kama sio Nyerere, kuna watu wasingezaliwa na hata ukucha usingeonekana!. Mshukuruni sana Nyerere!. Its true mimi sina uwezo wa kuwafanya kitu chochote Wazanzibar, ila amini usiamini, hata mimi ukisikia nimekuja Zanzibar, huwa nafuata starehe fulani fulani, naomba nisiseme ni starehe gani, lakini Zanzibar nakuja sana, hivyo ongea nami kwa heshima, usikute mimi ni shemejio!.
P
Wacha kupiga mayowe huu Muungano ni ukoloni tuu na janja za Tanganyika kututawala Jambo ambalo hamkufanikiwa
Hakuna uhalali wowote hakuna asiejua Hilo.

Bunge la katiba lilithibitisha Hilo
Tuonesheni Saini ya KARUME ktk hati ya Muungano

Twambie Wazanzibar waliupitisha Muungano kupita chombo gani cha kisheria?

Mambo ya Muungano hayakuzid 11 Nani aliyafikisha Zaid ya 50 Kwa SASA?

Mambo yote ya Muungano yalikua Yana hitaji thuluthi mbili za Wazanzibar nambie Bunge lenu Kwa NN waliuwa hiyo kanun

Kwa NN sik zote mnatoa vitisho kwamba MTAULINDA MUUNGANO KW NGUVU ZOTE?
Ndoa unayolondwa Kwa vitisho hata uliendelea kuwepo basi utakuwepo kinadharia tuu

Kwa nini miaka yote kipindi cha uchaguz mnaivamia ZANZIBAR kijeshi na mnapindua maamuzi ya Wazanzibar I??
Wacha porojo Muungano umechuja uleteni Kwa Wananchi waje kuujadili

Nini kinawagopesha??
Nini hofu yenu ??
 
Mada ilikua TANZANIA lini imefika miaka 60 ??
Wewe ukikataa ukiruka Sisi twakujua ww ni MTANGANYIKA Nchi ya Mababu zako mkataa chake ni MTUMWA
 
Kwamba Atlas na google map ndio vielelezo vya kuonyesha ipo au haipo?
Pia haitambuliki rasmi kimataifa. Tanganyika haina mwakilishi UN haina mwakilishi African Union (AU) haina mwakilishi East African Community (EAC). Haina mwakilishi kwenye jumuiya yoyote ya kimataifa. Haitambuliki FIFA au haitambuliki kwenye Olympics popote pale. Nyerere aliitupa chooni kama uchafu akai flashi hiyo Tanganyika. Jiulize kwa nini Nyerere alifanya hivyo?
 
Mbona mnatuchanyanya hivi mkisema Miaka 60 ya UHURU wa TANZANIA mnakusudia hii Tanzania iliyozaliwa 64 au kuna nyengine?

Hivi waandishi wa habari na wanasiasa mnaosema UHURU WA TANZANIA hivi kweli hamjui historia yenu? Kwanini munainyanyapaa TANGANYIKA kiasi hiki?

Historia itabakia ni historia tuu hata mkitumia nguvu kiasi gani kuipotosha

Au Mimi ndio sifahamu haya mambo? Kama NI hivyo nielewesheni ni Tanzania gani iliyopata UHURU 1961?

Ni haya tu
Tunaadhimisha miaka 60 ya Tanzania Bara.
 
Back
Top Bottom