Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?

Ni Uhuru wa Tanzania bara

Jina lilibadlishwa kisheria kuwa Tanzania Kama wewe unavyoweza badili jina tukasema Leo birthday ya Juma jina lako jipya baada ya kuslimu ukubwani na kubadili jina la asili la Chapombe na kuitwa Juma badala ya kuendelea nalo jina la Chapombe msikitini

Ni Uhuru wa Tanzania bara

Ila Zanzibar huwa hawataki Hilo wao huadhimisha uhuru.wa Zanzibar sio wa Tanzania visiwani!

Linatakiwa kuongeza neno bara nyuma kuwa ni uhuru wa Tanzania bara
Tanzania bara ipi wewe. Ni Tanganyika
 
Kama utaifa WA Tanganyika ulikufa ni vizur but utaifa wetu bado upo na upo imara
1 Tuna Rais wetu
2 Tuna bendera yetu
3 Tuna Baraza la wawakilishi
4 Tuna katiba yetu
5 Tuna Mahakama yetu
6 Tuna Wimbo wetu WA Taifa
7 Tuna Vitamhulisho vyetu

Pia habari njema Kwasasa na kama hujui tumeanza kukopa nje direct Sisi kama Sisi

NOTE
Kama Nyerere alishindwa kutupora Utaifa wetu Mayala utateseka Sana huna uwezo wakutufanya chochote shuhulikia kutafuta mkate wako WA kila siku
Na Zanzibar imeanza kupokea mapato yake yenyewe ya Visa kwa watu wote wanaoingia Zanzibar
 
Back
Top Bottom