Tuna windwa sisi kila siku na maaduwi zetu binadamu kwanini na sisi tusiwawinde? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuna windwa sisi kila siku na maaduwi zetu binadamu kwanini na sisi tusiwawinde?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 17, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Ole wako usipite Karibu yangu nitakumaliza...................... Boflo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heeh, Mzizi unataka kummaliza Boflooo na hilo bomba!
   
 3. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Science and technology!
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Hata hawa Wanyama wanayo hii elimu ya (Science and technology)?....@Anko Sam
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mkuu SIMBA WA TARANGA Mkuu Boflo amezidi kutuwekea picha huku akisema mumtafute paka yupo wapi ?atakaye shinda nitampa Buku 5000 nimeshinda hajanipa huyo mkuu.Boflo bora nimmalize asiwepo Jamii forums. :A S wink:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haah haah haah. @Mkuu Mzizi, Hata mimi nimemuona yule paka mbele ye yale mawe!!!!!! Ametuingiza mjini wote ila Boflo kumpata ni kwenye viwanja vya taarab. Polini sio hobbie yake.
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,956
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  hii nayo kali sasa ukali wake plus silaha that is definitely mass destruction
   
 8. Badu

  Badu JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wanyama nao wangekuwa wanawinda hv na gobole kusinge kalika humu dunian
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yeah science and Catknowledge!
   
 10. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna tofauti gani kati ya sentensi hiyo hapo juu na hizi: Ole wako upite karibu yangu! Nitakumaliza!
  Ole wako! Ukipita karibu yangu, nitakumaliza!
   
Loading...