Tuna watawala badala ya viongozi

nemsong2005

Member
Sep 14, 2011
5
0
Kwa kweli nchi yetu inateketea siku hadi siku kwa kuwa serikali yetu imejaa watawala badala ya viongozi, coz watawala hujiwaza wao na manufaa yao tu na ndio watu waliojaa madarakani serikalini ni lini tutapata viongozi watukomboea. . .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom