Tuna umaliza vipi mwaka 2012?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Binafsi 2012 imekua njema kwangu,ingawa kuna matamu na machungu
lakini matamu yanaondoa uchungu wote.

Katika jamii yetu kuna wale walioshindwa kutabasamu au kufurahia maisha kwa
namna moja au nyingine mwaka huu wa 2012.

Kuna walio lazwa mahospitalini mda mrefu,watoto yatima,wagonjwa wa kansa,etc.

Mnaonaje tukitoka nje ya JF-MMU na kufanya kitu as a group?
Napenda sana kutembelea mayatima.

Lolote lililo jema,nadhani AshaDii ataweza zaidi ku-organise.

Tumshukuru Mungu kwa kila alicho tujalia,kikubwa zaidi ikiwa ni PUMZI.

Karibuni
 
Last edited by a moderator:
Nawakumbusha mkamtolee Mungu shukrani kwa mema aliyewatendea ukianzia na uhai................
Mkazidi kusimulia ukuu wake siku zote.
 
Kimshahara kimetoka niandae fungu la contributiona na viwalo
me naona tunatakiwa kwenda kutoa sadaka endelevu
sadaka endelevu nadhani mnazijua
 
Back
Top Bottom