KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Habarini za jpili wanaJF wenzangu.nilikuwa natafakari peke yangu nikakoswa jibu hivyo nimelileta mbele yenu.Hivi ni mamlaka gani inayohusika na ubora wa uingizwaji wa simu nchini kati ya TBS na TCRA?.Kwa sababu nina wasiwasi mkubwa sana na ubora wa mionzi inayotumika katika simu za kichina kweli mionzi hiyo itaziacha afya zetu salama?????.Au ni bora mawasiliano masuala ya afya yako baadae!!!!!!!!!!