johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,852
- 141,771
Kumekuwa na taarifa kwamba kuna wabunge na madiwani wa upinzani ambao wameandika barua wakiomba kujiunga na CCM, wengine walijibiwa, wengine walikataliwa na wengine bado wanafikiriwa.
Sasa CHADEMA wanatuhakikishiaje kwamba hawa wabunge watarajiwa katika siku za usoni hawatatamani kujiunga na chama tawala kumuunga mkono mkuu wa nchi?........hali itakayopelekea kujiuzulu na kuturejesha tena uchaguzini. Usiku mwema!