Elections 2010 Tuna tume ya ccm hatuna tume ya taifa ya uchaguzi

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
0
Ninachokiona sasa ni kuwa nec hii inayosoma matokeo ni tume ya kampeni ya chama cha mapinduzi na si tume ya taifa ya uchaguzi na hivyo tuna haki ya kuwa na tume independent ya taifa ya kusimamia uchaguzi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom