GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Moja ya tatizo ambalo naliona katika mafundi wetu wengi au wataalamu ni kutothamini kazi zao.
Nlikuwa nmepeleka gari kwa fundi abadilishe Gearbox and Engine Oil. Lakini kabla ya hapo tayari mimi nlishasoma Manual ya gari inasema natakiwa niweke Engine Oil 5W30.
Nlisha fanya tafiti sana juu ya suala hili coz pia huwa napata shida kwa gari yenye engine kubwa ya 3000 CC. Mtu anataka aweke oil ambayo naona inawekwa kwenye engine za 2000 CC Je kitaalamu ni sawa? Hakuna uhusiano wa Ukubwa wa Engine na Oil husika?
This one ina 1300 CC. Mtaalam anasema aweke Engine Oil ya gari zenye 2000 CC. Hanipi sababu.
Fundi namuuliza anaponishauri niweke oil ya 20W50 namuuliza kwa nini. Anajibu hiyo ndiyo oil ambayo wengi wanaweka kwenye RAV 4 n.k but my car isnt RAV 4.
Lakini kwa nini uwekaji wa wengi iwe kigezo cha mimi pia kuweka hiyo? Hana sababu za kitaalam. Binafsi nimemwambia nataka niweke Oil bora kwa ajili ya kutunza Engine. But pia iwe sahihi kwa Gari ambayo imeshatembea kms 190,000.
Je hakuna wataalam ambao wanaweza kunipa maelekezo ya kitaalamu kwa nini niweke engine oil size tofauti na iliyokuwa recommended wakati gari mpya?
Napokuja kwenye upande wa Gear Box pia nakuta fundi hana majibu ya kutosheleza. Nimeshahangaika kwa mafundi wawili sasa. Mwishowe nimeenda Total wakitaka kuniuzia Oil yao Qualtz. Wanasema ni Oil nzuri kwa Engine.
Nahitaji maelezo kwa mhusika ananambia " we tumia tu utakuja kunambia mwenyewe" lengo langu si kutumia tu. Lengo langu ni kupata Elimu. Kila mara inapofika kufanya service najikuta napata shida sana kwa hawa wataalamu wetu
Unapotumia gari muda mrefu na aina ya oil huwa inabadilika kutokana na kms za gari husika. So wanasema haiwezekani ukaendelea kutumia oil ile ile baada ya Kms 100,000 kwa sababu kadhaa wa kadhaa.
Lakini pia hali ya hewa inachangia na mabadiliko ya Oil husika. Kama ni sehemu za baridi sana au Joto sana. Sasa wataalam wetu wengi hawajui hii tofauti. Kwao ni kumwaga na kuweka oil nyingine.
Hawajui kuna synthetic na "natural" oil lakini pia faida na hasara za hayo makundi mawili. Hii imekuwa tatizo kwa watu ambao tunataka kupata elimu. Nliuliza kwa muuzaji mmoja wa TOTAL EXCELLIUM inasaidiaje gari ku economize mafuta. Alinijibu inapunguza ulaji. nikamwuliza HOW? Akanambia nijaribu tu ntaona tofauti.
Binafsi naamini mafuta ya Total na Puma. Kuwa ni masafi na hawafanyi wizi ingawa hii PUMA YA HAPA SINZA KIJIWENI HUWA INANIPA MASHAKA SANA.
WATAALAM FAHAMUNI FIELD ZENU WATEJA WAENJOY HUDUMA ZENU.