Tuna la kujifunza kutoka kwa wenzetu katika biashara

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,153
2,000
Hope wana JF wazima wa afya tele na hongera kwa kumpata kiongozi wenu kwa amani...

Twende kwenye mada.
Nimebahati kufanya kazi nchini Marekani kwa miaka 3 sasa kwa kweli nimejifunza vitu vingi sana hasa katika biashara na mambo mengine.

Ila kuna siku nikiwa kazini kuna swali nilijiuliza kwanini wamarekani wanafanikiwa sana, yaani hawana elimu kubwa na wengine hawana kabisa, hasa nikawa najiuliza hivi hawa watu kwanini wanafanikiwa na biashara yao kuishi kwa miaka mingi zaidi na kuendelea kukua siku hadi siku,

Moja ya sababu katika sababu kuu nilizopata ni kwenye mfumo wa kuendesha biashara zetu. Mfano:
Mfumo wa Tanzania
Mmiliki: Rashidi fulani
Muendeshaji: Rashidi fulani
Msimamizi: Rashidi fulani
Mtafuta masoko: Rashidi fulani
Mtoa report: Rashidi fulani
Msemaji: Rashidi fulani

Mfumo wa Marekani.
Mmiliki: Jeff Bezos
Muendesha : Juma Congo
Mshauri : Khadija Tanzanite
reporter : Kin Nigga
Nk........

Wenzetu wanaamini kuwa huwezi kuwa bora kwa kila kitu, unaweza kuwa na wazo lakini ukakosa namna ya kulauch wazo lako, hivyo basi tafuta mtu wa kuendesha wazo.

Mfano: Amazon, facebook, alibaba
Wote wanakauli moja wakisema mafanikio yao yalitokana na watu waliofanya nao kazi na si elimu ya darasa,licha wazo alikuwa nalo.

Unapokuwa na wazo lako ni wakati mzuri wa kutafuta watu kuendesha wazo lako na tafuta watu smart kuendesha biashara yako.

Una biashara kubwa unataka kila kitu uendeshe wewe,akili yako haiko smart kufanya yote hayo.

Asante
 
Shimba Ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
147,422

Kwani akina Bakhresa na Mo biashara zao zinaendeshwaje?

Kwa hayo makampuni makubwa uliyoyataja hata kama ungekuwa na akili kubwa kama Einstein usingeweza kuyaendesha peke yako kwa sababu karibu kila hatua utahitaji watu tofauti. Kuanzia kwenye kutafuta watu wa kuwekeza kwenye wazo lako, mainjinia wa kulitekeleza wazo lako n.k.

Ingenoga zaidi kama ungezungumzia wafanyabiashara wa kawaida. Wale wenye vimigawaha vyao, viduka vya maua, viduka vya nguo, vigereji vya magari n.k. Hao uendeshaji wao wa biashara unatofautianaje na wetu huku kama siyo kukomaa wewe na familia yako? Hii ingetusaidia zaidi kuliko hiyo mifano ya akina Bezzos, Mark Zuckerberg, Bill Gates na wenzao.
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
2,501

Upo irrelevant kabisa ndugu
 
Kisiran

Senior Member
Jun 7, 2020
155
250
Kwani akina Bakhresa na Mo biashara zao zinaendeshwaje?

Kwa hayo makampuni makubwa uliyoyataja hata kama ungekuwa na akili kubwa kama Einstein usingeweza kuyaendesha peke yako kwa sababu karibu kila hatua utahitaji watu tofauti. Kuanzia kwenye kutafuta watu wa kuwekeza kwenye wazo lako, mainjinia wa kulitekeleza wazo lako n.k.

Ingenoga zaidi kama ungezungumzia wafanyabiashara wa kawaida. Wale wenye vimigawaha vyao, viduka vya maua, viduka vya nguo, vigereji vya magari n.k. Hao uendeshaji wao wa biashara unatofautianaje na wetu huku kama siyo kukomaa wewe na familia yako? Hii ingetusaidia zaidi kuliko hiyo mifano ya akina Bezzos, Mark Zuckerberg, Bill Gates na wenzao.
Umemfafanulia vyema sana. Big up
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
7,445
2,000
Hahahaha kwa majibu haya lazima utoke mbio. nimepata mashaka na Marekani ipi uliyo fika wewe.
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
70,636
2,000
Ni kweli kabisa...

Kwa mazingira ya kwao hayo yanawezekana...

Kwa mazimgira ya hapa inakua ngumu sana... tunaamini zaidi kwenye one man show...Cc: mahondaw
 
KIN NIGGA

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,153
2,000
Kwani akina Bakhresa na Mo biashara zao zinaendeshwaje?

Kwa hayo makampuni makubwa uliyoyataja hata kama ungekuwa na akili kubwa kama Einstein usingeweza kuyaendesha peke yako kwa sababu karibu kila hatua utahitaji watu tofauti. Kuanzia kwenye kutafuta watu wa kuwekeza kwenye wazo lako, mainjinia wa kulitekeleza wazo lako n.k.

Ingenoga zaidi kama ungezungumzia wafanyabiashara wa kawaida. Wale wenye vimigawaha vyao, viduka vya maua, viduka vya nguo, vigereji vya magari n.k. Hao uendeshaji wao wa biashara unatofautianaje na wetu huku kama siyo kukomaa wewe na familia yako? Hii ingetusaidia zaidi kuliko hiyo mifano ya akina Bezzos, Mark Zuckerberg, Bill Gates na wenzao.
Bongo movie wafanya hivyo hvyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom