Tuna imani na Tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuna imani na Tanesco

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by utemi, Jun 22, 2011.

 1. utemi

  utemi Senior Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 167
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tuna imani na Tanesco
  oyaa oyaa oyaaa , Tanesco
  kweli ..,kweli...., kweli,
  kweli kweli kweli,
  Tanesco kweli Kweli , kweli.....Kweli ,kweli kweli x 2
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,122
  Likes Received: 6,606
  Trophy Points: 280
  sina imani na tanesco
   
 3. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada wewe ni mtoto wa fisadi au ni fisadi mwenyewe la sivyo mchezo wako ni mauti kwa wengine. Ukitulia bila kuongea pumba ni heshima pia
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nadhani mtoa mada katumia luga ya picha,kaboreka na utendaji kazi wa tanesco. nadhani shirika limeelewa sana wanahitaji kuiga ya wenzetu,Ni vigumu kwa nchi maskini shirika moja la umeme liweze kufanya kazi yakuzalisha umeme, kusambaza, kusafirisha,kuweka miundombinu .Inatakiwa wabakie na kazi moja tu ya kuuza umeme basi.Miundo mbinu, kusafirisha na kuzalisha umeme wapewe makapuni tofauti,mfano kuzalisha waachiwe kampuni moja,kutandanza nyaya nk(miundombinu) wapewe kampuni ingine hapo tutafika,kutakuwa na ushindani mkubwa ili kila kampuni iweze kupata faida,bila hivo hatutafika.Tutalia na mgao kila siku kisa tunategemea maji na hawa wakoloni wa songas.Maeneo mengi zalishi bado hayajafanyiwa kazi yao tu kama Kiwira,umeme wa upepo singida,mto malagarasi nk nk
   
 5. utemi

  utemi Senior Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 167
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nimetumia Lugha ya picha mkuu!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nadhani mtoa mada kaboreka mbaya mpaka kaamua kusifia penye uozo, ujumbe tosha saaaaaaaaaana tuu.
   
Loading...