jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,052
- 28,242
Inaelekea Canada ni chaka la kuhifadhi wanyonyaji wanaoiba fedha Afrika na kwenda kujenga majumba ya kifahari nchini canada.
Wengi wetu tunatambua waliokomba fedha nchini na kwenda mapunzikoni canada.
Nchi ya Canada kwa kuruhusu mzunguko wa fedha zilizopatikana kwa dhulma na unyonyaji Africa inajiweka kwenye kundi la mabeberu wanaouma na kupuliza.
Kama watanzania na waafrika yatupasa sasa kuanza kufikiri upya zaidi ...
Kwanza tuna kila sababu ya kugomea kununua na kutumia bidhaa kutoka Canada ....hili linawezekana na linastahiki kufanyika ili waielewe lugha tunayowaeleza.