mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,829
- 3,118
Kukosoa na kutoa wazo mbadala ni sahihi,sio kutukana ,kukashifu,kuzodoa, kukejeri,na kudharau
Kenge mwekundu pubguza jazbaKenge wa kijani..
Risasi zilezile mlIzotumia kwa kina Lissu, Azory etc mtaanza kumalizana nazo wenyewe..
Malipo ni hapahapa Duniani..
Wendawazimu wakubwa.
Askofu anayeshabikia rais kutukanwa...Kumpiga mtoto na kumwambia acha kulia ni kosa kwa sababu umemnyima haki yake ya kulia~ Askofu Bagonza.
Huu utawala haupendi kukoselewa wanachopenda zaidi kusifiwa na waandamizi wa serikali hii ni wanafiki kwa sababu wanaona kukosoa serikali ni kukosa uzalendo, tubadirike jaman mtu anayekwambia kwa dhati kama umekosea ana lengo la kukutaka ubadirike kwa sababu anakupenda.
Askofu anayeshabikia rais kutukanwa...
I like this: praise! the LordUmenena ukweli mtupu. Tatizo nchi yetu, ilipofuata mfumo wa serikali za ki communist . Usitegemee kumkosoa Rais direct or indirect . Angalia nchi zote za communist ama umtukuze kiongozi na chama tawala. Si vinginevyo. Kama bungeni tu sasa hivi ni ruhusa kumtaja kwa kumsifu not otherwise. Na bungeni upinzani upo ki katiba na kuna kambi rasmi ya upinzani . Ukimtaja kwa kumkosoa ama Ndugai, Tulia au Jenister moja lazima atasimama.
Pili katiba hii ya 1977 inaumba moja wetu kuwa mungumutu. Inatakiwa ukichaguliwa ktk nafasi hiyo uwe na utu kwa watu wako. Nashukuru juzi kule Kongwa alisema hataki kuongoza nchi na watu wenye maumivu na machozi. Hataki kuona watu wake wakinyanyaswa. Labda asimamie msimamo huo.