Tumwombee Ben (JF) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumwombee Ben (JF)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Invisible, Jan 9, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mwenzetu Ben mwishoni mwa mwaka jana baada ya Noel alipata ajali ya gari huko India (New Delhi) na sasa anaendelea vema.

  Leo amefanikiwa kuingia JF na kwakuwa kanifahamisha juu ya kilichomsibu ningependa kwa pamoja tushirikiane kumwombea afya njema na apone na kurejelea afya yake mapema iwezekanavyo.

  Get well soon Ben!
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,856
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ben pole na Welcome Back!

  Mola akuwezeshe upone haraka!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jan 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,290
  Likes Received: 22,965
  Trophy Points: 280
  Aisee nilivyoona jina la Ben nikashtuka sana.
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ugua pole Ben
  Mbona hutoi pole?
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Jamani muwe mnanyambua Ben yupi tafadhali.
  Pole Ben get well soon
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,842
  Likes Received: 2,403
  Trophy Points: 280
  mnyambuliko wa BEN NI


  B---BRAVO

  E---ECHO

  N--NIKE
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,842
  Likes Received: 2,403
  Trophy Points: 280
  Pole sana ben!!!!mungu akupe nguvu ushinde majaribu yote ya mwovu shwetani 2009
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  Jan 9, 2009
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,604
  Likes Received: 3,585
  Trophy Points: 280
  Wakuu Wangu,

  Asanteni sana.Nimefarijika sana na Mungu awabariki sana.Kwa kweli namshukuru Mungu ninaendelea vizuri.

  Kwa kweli sina cha kuwalipa kwa upendo wenu na roho ya Huruma,Baraka za Mungu Ziwamiminikie sana. Asanteni kwa kunifariji.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jan 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,290
  Likes Received: 22,965
  Trophy Points: 280
  Mi nilidhani Uncle Ben..............

  Halafu kwani lazima nitoe pole hapa? Kwani hakuna PM....?
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama ni huyo bora angekufillia mbali......

  Acha brah brah toa pole tuone
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,842
  Likes Received: 2,403
  Trophy Points: 280
  Nyani ngabu mkuu siku nyingine tuanze na [elpo mengine yatakuja aiza unamjua humjui tuwaombee kwa mola kwanza).....wapate afya kama yako
  kila la kheri na wote waliopata ajala wanaopata ajali na watakaopata ajali nawapa pole))
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jan 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,290
  Likes Received: 22,965
  Trophy Points: 280
  Hey Pundit, I see you down there. Where have you been mayn?
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  lo zimefutwa?
  NN bado hutaki kutoa pole
   
 14. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,815
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ben,

  Pole sana na mungu akusaidie upate nafuu haraka na kurudi kwenye mihangaiko yako ya kawaida.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Jan 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,799
  Likes Received: 4,181
  Trophy Points: 280
  pole sana Ben, na namuomba Mwenyezi akurudishie nguvu zote za mwili na kuendelea kukupa shime katika yote ufanyayo.
   
 16. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 210
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pole sana Ben. Karibu jamvini tena.
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  ...Get well soon Ben, pole sana.
   
 18. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ben, Mola akuponye kwa yaliyokupata na pia akuondolee yaliyo mabaya.
   
 19. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,383
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  pole sana ben. mola aendelee kukulinda na kukupa afya njema.

  mkuu mafisadi walitaka kukutoa sadaka nini? lol
  mambo ya epa unajua jamaa wanaweza pita "mlingotini" ati lol
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mkuu pole sana ...maulana akujalie quick recoverly!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...