Tumwombe Mungu uzima tushuhudie 2015 watanzania tunaandika historia mpya ya taifa letu

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Ukiniuliza kati ya mambo matatu ambayo naweza kumwomba mungu kwa sasa moja wapo ni kumwomba uzima ili nishuhudie nchi yetu inaandika historia mpya, it will be a very important year wakati watanzania watakapotimiza tukio la kufunga rasimi moja ya sura za kitabu cha tanzania inayojulikana kama ccm yenye topic za 1.Unyojaji ndo nguzo yetu, 2. Ufisadi ndo msingi wa maisha yetu,3. Ulevi wa madaraka4. Vyeo vyote vinagawiwa kwa kuangalia undugu5. Umakini kwenye kazi na kusaini mikataba kwetu ni mwiko6. Uchakachuaji wa matokeo7. Ushindi ni lazima8. Kuuza wanyama nje sio ishuu9. Kukutwa na shahada 44 za watu sio jinai10. Kulindana ni sera yetu kuuNa kufungua page mpya yenye topic mbili tu yenye kueleza Maslahi ya wananchi kwanza Elimu, afya, miundombinu, maji na umeme, yenye kuelezaumuhimu wa misingi ya utawala bora wa sheria serikali sikivu na yenye kujali wananchi na kuwasikiliza wanataka nini,serikali iliyotayari kugawa keki ya taifa kwa watu wote!Ehee mungu nisaidie nifike siku hiyo!Amina!Nawasilisha!
 

std7

JF-Expert Member
May 6, 2011
708
701
Tufungue kitabu kilichoandikwa 1.UKABILA ndo nguzo yetu. 2.UNDUGU NA UKANDA ndo msingi wetu 3.FUJO NA VURUGU. ndo sera zetu. haiwezeka ukifikiria hivyo unakosea. na uchaguzi wa igunga utatuonyesha njia.
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,320
17,334
sio hilo tu fungueni kabila la uwazi na ukweli
je unaesema una kadi ya upinzani aijalshi chadema nec nk
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom