Tumuunge mkono ndugu Humphrey Polepole

Mh H Polepole endelea kutoa darsa usirudi nyuma. Mafisadi na vibaraka wao watafanya kila lililo kwenye uwezo wao kukukwamisha mwisho wa siku watalegezwa na nguvu ya wanafunzi wako ambao unawapa elimu ya uzalendo na ukombozi wa fikra.
 
Shida ya watu aina ya Humphrey Polepolr ni kwamba wao hawajali kuhusu utambulisho wao, wanachoangalia ni manufaa binafsi tu. Ndio maana kuna Polepole wa Tume ya Katiba ya Warioba, huyo ndio OG, kabla haja mutate na kuwa Polepole wa Magufuli. Sasa hivi tuna Polepole wa Samia. Hakuna ajuaye Polepole atasimamia nini baada ya 2025. Hana tofauti na kirusi cha korona. Ni wa kuogopwa kama ukoma
... yaani unashindwa kufanya utabiri rahisi namna hiyo?
1) Polepole chini ya dikteta ni muimba mapambio mzuri na hata kusaidia kuua hataona aibu!
2) Polepole kama mkulu ni dikteta atakaetupimia mpaka vibaba vya unga majumbani mwetu, maana anajua kila kitu!
HAFAI: ... NOT A HUMAN BUT A SADISTICALLY PROGRAMMED ROBOT!
 
Angalia hoja yake, si chuki zenu binafsi
Kumbuka hoja zake zake zinahubiriwa CCM, CHADEMA, MISIKITINI na MAKANISANI
Dip a spoon in shit, then clean it with all the soap in the world, ... and even heat it red hot, but still I won't, knowingly, eat using that spoon! .... THAT SPOON IS POLEPOLE!
 
Unasema tuwe wakweli, unaishia kuwa muongo!
Ni shetani gani anasita kuunga mkono mtu mwenye historia mbaya?
Labda ni shetani wa kabila lenu!
LOWASSA aliungwa mkono na Chadema
HAMZA aliungwa mkono na CCM
Shetani ana wivu pia, yaani hataki kuzidiwa UOVU!
 
Waungwana Asalam aleykum!

Nimemfuatilia ndugu yangu Humphrey Polepole kwenye darasa lake la uongozi kwenye utube, nami nimebaini yakuwa anafanya Jambo jema Sana kwa Taifa.

Naamini mutakubaliana na Mimi kuwa elimu ni Jambo la msingi Kati ya Mambo muhimu tunayohitaji Kama Taifa.

Ndugu Humphrey Polepole anatoa mada mzuri za elimu na anapata uungwaji mkono na watu wengi

Inachofurahisha ni kwamba mada zake hazitetei chama chochote, dini yoyote Wala kabila lolote, kitu ambacho ni Nadra kukiona, kwa watoa mada wengi, wengi wao huegemea kutetea maslahi yao, chama Chao au hata dini yao

Kwakweli Taifa litafakari hili na liunge mkono

Kila chama kitengeneze kipindi Cha kuelimisha watu juu ya masuala ya Taifa na chama Chao, kwa wiki au kwa mwezi watu wasikilize na waulize maswali na wapewe ufafanuzi

Wizara mbalimbali, ama ofisi za mikoa, bunge, ama mahakama pia jeshi la polisi, warushe vipindi Kama hivi kuelimisha watu juu ya masuala yote yanayoendelea katika idara zao, watu wasikilize na kuhoji pia

Nimeshangaa watu wanapiga simu kwa Humphrey Polepole wanahoji Mambo ambayo walipaswa kuulizwa watu wengine serikalini, Kama vile ishu za tozo, na chanjo

Cha kushangaza baadhi ya watu wanabeza juhuji hii ya Polepole, eti kwa Nini asifanye enzi za mwendazake.

Hivi mnasahau Mama Samia alinyamaza kimya enzi za jiwe na Sasa anachukuwa hatua kadhaa zilizo kinyume?

JPM pia alinyamaza kimya enzi za JK na akachukuwa hatua alipopata urais?
Ukimfuatia JK, Mkapa, pia Mwinyi utagundua yapo Mambo walikaa kimya, na waliyachukulia hatua walipopata urais

Tatizo la chama changu CCM, wanajua kuunga juhudi kwa anachofanya mwenyekiti tu. Haya ya Polepole yangekuwa ni ubunifu wa Raisi ungeona mapambio, na hekaheka za kila mteule wa Raisi kuunga juhudi!

Jamani, Polepole anaupiga mwingi, Tumuunge mkono!
Huyu hata kidole simuungi. Hafai. Ni mchumia tumbo na msaka ngawira ambaye sishangai kumuona akifanya umalaya wa kisiasa.
 
Polepole , nikiongozi mzuri anamaono sana

Acheni atueleze
 
Jamani njaa mbaya. Polepole tulia angalia tumbo lako ukijichanganya mwanangu hata hako ka million 12+ kwa mwezi utakakosa. Tuliza kalio na domo hilo.
 
Waungwana Asalam aleykum!

Nimemfuatilia ndugu yangu Humphrey Polepole kwenye darasa lake la uongozi kwenye utube, nami nimebaini yakuwa anafanya Jambo jema Sana kwa Taifa.

Naamini mutakubaliana na Mimi kuwa elimu ni Jambo la msingi Kati ya Mambo muhimu tunayohitaji Kama Taifa.

Ndugu Humphrey Polepole anatoa mada mzuri za elimu na anapata uungwaji mkono na watu wengi

Inachofurahisha ni kwamba mada zake hazitetei chama chochote, dini yoyote Wala kabila lolote, kitu ambacho ni Nadra kukiona, kwa watoa mada wengi, wengi wao huegemea kutetea maslahi yao, chama Chao au hata dini yao

Kwakweli Taifa litafakari hili na liunge mkono

Kila chama kitengeneze kipindi Cha kuelimisha watu juu ya masuala ya Taifa na chama Chao, kwa wiki au kwa mwezi watu wasikilize na waulize maswali na wapewe ufafanuzi

Wizara mbalimbali, ama ofisi za mikoa, bunge, ama mahakama pia jeshi la polisi, warushe vipindi Kama hivi kuelimisha watu juu ya masuala yote yanayoendelea katika idara zao, watu wasikilize na kuhoji pia

Nimeshangaa watu wanapiga simu kwa Humphrey Polepole wanahoji Mambo ambayo walipaswa kuulizwa watu wengine serikalini, Kama vile ishu za tozo, na chanjo

Cha kushangaza baadhi ya watu wanabeza juhuji hii ya Polepole, eti kwa Nini asifanye enzi za mwendazake.

Hivi mnasahau Mama Samia alinyamaza kimya enzi za jiwe na Sasa anachukuwa hatua kadhaa zilizo kinyume?

JPM pia alinyamaza kimya enzi za JK na akachukuwa hatua alipopata urais?
Ukimfuatia JK, Mkapa, pia Mwinyi utagundua yapo Mambo walikaa kimya, na waliyachukulia hatua walipopata urais

Tatizo la chama changu CCM, wanajua kuunga juhudi kwa anachofanya mwenyekiti tu. Haya ya Polepole yangekuwa ni ubunifu wa Raisi ungeona mapambio, na hekaheka za kila mteule wa Raisi kuunga juhudi!

Jamani, Polepole anaupiga mwingi, Tumuunge mkono!
.
Huyu mtu ana stress hivi sasa. Ana akili nzuri lakini ni wa hovyo. Watu kama Polepole ni hatari Sana. Hawana chochote zaidi ya unafiki.

Angefanya hiv kipindi cha mwendazake ningemuunga mkono....
ANAUNGWA MKONO NA WENGI. HAIPUNGUZI KITU USIPOMUUNGA MKONO.
 
FB_IMG_1640547243028.jpg
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom