Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
Jamani nimepokea hii kwenye PM yangu nikiombwa niiweke hapa JF ili kuhamasisha watanzania (watakaopenda) kumuunga mkono Rachel Temu anayeshiriki kwenye MISS AFRICA UNITED STATES.
Admin naomba uiache hapa kwa muda ili watu wengi waione na baadae unaweza kuihamishia kwenye forum yoyote utakayoona inafaa.
Mshindi anapatikana kwa kupiga kura online na Watanzania tufuate hiyo link hapa ili kumpigia kura Rachel Temu:
http://www.missafricaunitedstates.com/mausa/vote.htm
Asanteni.
Admin naomba uiache hapa kwa muda ili watu wengi waione na baadae unaweza kuihamishia kwenye forum yoyote utakayoona inafaa.
Tanzania, Tanzania .
Tanzania ni nchi nzuri yenye vyanzo na vitu vingi ambavyo tunaweza kujivunia kwa kujitangaza na kuweza kuendelea na kuwa katika ramani ya dunia katika utalii. kuna vitu vingi sana vinaendelea duniani na vinaihusu TANZANIA pamoja na WATANZANIA kwa njia moja au nyingine ambapo vinahitaji msukumo kutoka kwa wananchi hata kama serikari inafumbia macho.
MISS AFRICA UNITED STATES, tunae mtanzania ambaye amesimama kwa gharama zake kuiwakilisha nchi bila msaada wowote kutoka serikarini, na bado anaomba msaada kwa wananchi kuweza kupigiwa kura.
Angalia hii..........wewe ni mtanzania mwenye uchungu na nchi yako, ingia kwenye link hapo chini then angalia RACHEL TEMU ( Tanzania ) kura alizonazo na watu kutoka nchi zingine za africa ambao wanashiriki, tupo kwenye TECHNOLOGY kama nchi nyingine za africa, tuna uchungu na nchi yetu kama na inaweza ikawa zaidi ya nchi nyingine za africa .
NOW MTANZANIA UTAKAYEPATA E MAIL HII....FORWARD UTAKAVYOWEZA NA HAKIKISHA KILA UKIINGIA KWENYE MAIL YAKO AU KILA SIKU PIGA KULA KWA MTANZANIA MISS AFRICA USA (RACHEL TEMU) THEN TUANGALIE KAMA TUTASHINDWA??
SUPPORT MTANZANIA....PIGA KURA MPAKA AONGOZE.........GONGA LINK HAPO CHINI THEN INGIA NA MPIGIE KURA RACHEL TEMU, IPIGIE KURA BENDERA YAKO MTANZANIA.
GONGA HAPA http://www.missafricaunitedstates.com/mausa/vote.htm
Mshindi anapatikana kwa kupiga kura online na Watanzania tufuate hiyo link hapa ili kumpigia kura Rachel Temu:
http://www.missafricaunitedstates.com/mausa/vote.htm
Asanteni.