Tumuunge mkono mtanzania mwezetu kwenye hili shindano la wajasiriamali

kilaza mjanja

JF-Expert Member
Jun 2, 2016
654
1,143
Kijana mwenzetu mtanzania aitwae Victor A Byemelwa anashiriki katika shindano la Youth citizen Entrepreneurship anaomba kura yako kupitia link hii https://www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/3497/

Jinsi ya kupiga kura
1. bonyeza link hapo juu kisha itafunguka website ya shindano hapo utaona upande kwa kulia kuna eneo lina rangi ya orange limeandika "VOTE NOW"

2. Bonyeza kwenye eneo lenye rangi ya orange lililoandika "VOTE NOW"

3. Itakupeleka chini kabisa ya website hapo utakuta picha yenye maandishi madogo ambayo utatakiwa kuyajaza kwenye nafasi ambayo ipo chini kama yalivyo.

4.Baada ya kuandika bonyeza eneo lenye maneno yanayo anza na "JETZET" UKISHABONYEZA UTAKUWA UMEPIGA KURA.
5. Baada ya kupiga kura utaona ujumbe unasema " Done- Thanks for voting"


* kwa siku unatakiwa kupiga kura moja,, hivyo tumpigie kila siku ashinde.

Unaweza kupiga kura mara moja kwa siku. Hivyo kila siku unaweza kupiga kura moja.

NB; Kumbuka ndugu yetu Victor A Byemelwa
kura 6000 ili kumuwezesha kushinda na kuiwakilisha nchi vyema tumuunge mkono.
 
Back
Top Bottom