Tumuunge mkono kijana Mtanzania mwenzetu

kilaza mjanja

JF-Expert Member
Jun 2, 2016
654
1,143
Mpaka sasa kijana mtanzania mwenzetu anaongoza kwa kura huku akifatiwa kwa ukaribu sana na mpinzani wake kutoka Bangladesh kwa ukaribu,, jamani utaifa unahuitajika sana ili kumuwezesha kushinda,,,

Ndugu wana jamvi tumuunge mkono mtanzania mwenzetu ndugu Victor A Byemelwa ambae ni kijana mjasiriamali na mbunifu wa maswala ya kibiashara amekuwa akiiwakilisha nchi maeneo tofauti tofauti katika maswala ya kibiashara na ujasiriamali kwa sasa ni mshiriki wa shindano la Youth citizen Entrepreneurship. Amekuwa akishinda tuzo mbali mbali za kibiashara na nyingine nyingine za ndani ya nchi na nje ya nchi kwa sasa anahitaji kura zote za watanzania ili kumuwezesha kurudisha ushindi nyumbani.

Ili kuweza kumpigia kura unatakiwa kuingia link hii: https://www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/3497/

Jinsi ya kupiga kura
1. bonyeza link hapo juu kisha itafunguka website ya shindano hapo utaona upande kwa kulia kuna eneo lina rangi ya orange limeandika "VOTE NOW"

2. Bonyeza kwenye eneo lenye rangi ya orange lililoandika "VOTE NOW"

3. Itakupeleka chini kabisa ya website hapo utakuta picha yenye maandishi madogo ambayo utatakiwa kuyajaza kwenye nafasi ambayo ipo chini kama yalivyo.

4.Baada ya kuandika bonyeza eneo lenye maneno yanayo anza na "JETZET" UKISHABONYEZA UTAKUWA UMEPIGA KURA.
5. Baada ya kupiga kura utaona ujumbe unasema " Done- Thanks for voting"

* kwa siku unatakiwa kupiga kura moja,, hivyo tumpigie kila siku ashinde.

Unaweza kupiga kura mara moja kwa siku. Hivyo kila siku unaweza kupiga kura moja.

NB; Kumbuka ndugu yetu Victor A Byemelwa
kura 6000 ili kumuwezesha kushinda na kuiwakilisha nchi vyema tumuunge mkono.
 
Kula ale yeye sisi tuunguze mifuko yetu kununua bundle za kumuandalia ulaji?
 
Wahaya wenzake watampigia hizo kura
 
Kwanini TBC hawamtangazi..., aende TBC na a demand haki yake ya kupigiwa chapuo... ,mijitu ya humu imekalia vilaza wa UDOM, mara sukari.., yaani shida tu
 
Aisee naomba utuwekee achievements zake za kijasiriamali.( entrepreneural motivational achievements) not this ongoing contest it's all about personal overall performance.
 
Kula ale yeye sisi tuunguze mifuko yetu kununua bundle za kumuandalia ulaji?

Kwakukusaidia tu huyo dogo ni kamanda wa chadema na aliyekuwa rais wa udom akafukuzwa chuo mwaka huu kwa fitna za ccm
 
Aisee naomba utuwekee achievements zake za kijasiriamali.( entrepreneural motivational achievements) not this ongoing contest it's all about personal overall performance.

Alishashinda mara nyingi tu lile shindano la tweet na Mengi.. He is smart, ni chadema damu na alikuwa Rais wa chuo cha Udom akafukuzwa (kama nipo sahihi).. Alikuwa amalize mwaka huu umesomea Bcom in International Business.. I personally know the guy, he is smart
 
Back
Top Bottom