kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,435
Ni malalamiko kila unapopita kwenye magazeti ndani ya daladala kwenye mitandao mjadala ni rais na serikali yake jinsi anavyoiendesha ,
Mpaka unajiuliza huyu mkuu wa nchi atapita kweli uchaguzi wa 2020,huyu bwana tangu abebe hili zigo la lawama hajatoka kwenda mbali zaidi ya rwanda,uganda na ethiopia hapa karibuni,
lakini ukiangalia wageni anaopata kumfuata yeye na kuja kuangalia fursa za uwekezaji ni wengi na inaonyesha ni jinsi gani katika anga za nje na kimataifa wanamkubali kuliko tunavyokubali ndani na inawezekana wizara ya mambo ya nje ipo kazini kweli
Na kila mgeni ajae hapa hutoa ahadi za uwekezaji mkubwa na kama uwekezaji huo utafanyika kweli basi tanzania itakuwa ni moja ya mataifa yenye nguvu kiuchumi barani africa,
Labda tuseme nabii hakubaliki kwao!