Tumuombee sala ya toba mama Smile.

R.I.P mama Smile,Smile pole sana na tunakuombea kwa Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako.
 
tunamuomba mungu ampe nguvu katika kipindi ichi kigumu,pia tunamuomba mungu alaze roho ya marehemu pema peponi pia amsamehe makosa yake yote,amen
 
Mungu akupe faraja Smile ktk kipindi hiki kigumu." Sala ya toba mtu anaombewa akiwa mzima
baada ya kufa ukurasa wa Mwanadamu unafungwa hapohapo.
 
Mungu akupe faraja smile! Nilifikiri wameshazika maana tangazo lilitoka muda kidogo hapa. Anyway, ni taratibu za kumuhifadhi mama yetu vizuri.
 
we love her but God loved her much all in all every body will follow since its the will of God and not of a Man
 
Pole sana SMILE, mungu akupe nguvu ya kusonga na maisha hasa kipindi hiki kigumu
 
JF nzima imewakilishwa na crew ya Arusha-Wing iliyokuwa na memberz 6.

Pia wamewasilisha michango ya rambirambi iliyokusanywa kwenye harambee maalum iliyoitishwa kama dharula kufuatia tukio zito hilo.
Aksanteni sana Arushaone, Mzee wa Rula, Dada marejesho, LiverpoolFC,Dada Mamzalendo, na dada sweetlady.
kwa kuwakilisha Arusha-Wing na JF ya dunia nzima.

Mungu ailaze roho ya marehemu mama Smile mahala pema, na Smile apate faraja ktk kipindi hiki kgumu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom