Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 487
Kuanzia muda wowote leo, yatafanyika mazishi ya mama wa member mwenzetu (mama SMILE) ambapo atalazwa katika nyumba yake ya milele, naomba kuwambusha wana jf wenzangu kupitia uzi huu tumuombee marehemu apumzike kwa amani na mungu awape nguvu waliobaki.