Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,888
Ndugu Rashid Hamad Mbuge kupitia Chama cha CUF sasa anaendelea vyema baada ya kufanyiwa OPeration huko Nchini India. Kwa kuwa ndugu Hamad amekuwa mtetezi wa Taifa la Tanzania, na sasa anaumwa tumuombee heri arudi salama na aendelee na kazi yake ya kuongoza Upinzani Bungeni. Kwa sasa ndugu Slaa atakuwa kiongozi wa muda kwa kuwa ndiye Makamu wake .
Kwa mara nyingine kila jambo jema ndugu Hamad
Kwa mara nyingine kila jambo jema ndugu Hamad