Tumuombee Faiza Ally, mzazi mwenza wa Sugu, ana maumivu makali sana

Makonda sidhani kma anajua nini anaongea,ndoa za watu yeye zinamuhusu nini?
Ni makosa sana kufikiria kumsema vibaya mzazi ama x wako. Leo hii kibamia cha sugu kinamtoa machozi. Kama kweli alimpenda kwanini alimdhalilisha kile? Eti sugu alitaka kumlawiti sasa ama move on iweje Leo alilie penzi la mtu aliyetaka kumlawiti?

Nimeona makonda karusha clip kuwa ndoa ya sugu ndio itakuwa ya kwanza kuingia kwenye database. Huku akijinasibu kuwa ataangalia sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inasemaje juu ya faiza kulipwa fidia
 
Yani unaenda kuzaa mtoto n mtu mwingine halafu bado unamtaka mzazi wa firstborn wako,huyu dada dish limeyumba sana
ujue yule dada alikuwa so desperate sjui akili iliruka akawa anashindwa amrudishe vipi, akaona akichafua mwanaume atajichanganya amrudie
 
Yani unaenda kuzaa mtoto n mtu mwingine halafu bado unamtaka mzazi wa firstborn wako,huyu dada dish limeyumba sana
alafu anatudanganya yuko happy na situation alonayo ya kumzaa mtoto wa pili eti alipenda, sasa km alipenda na kumpenda baba wa mtoto mbona saivi analilia kibamia, mara alitaka kumla kiboga, sugu ni mwanaume mstaarabu sana maana uyu dada alimchafua aisee
 
Yule anashida kichwani sio kawaida mtu kufanya afanyayo,huyo baba wa mtoto wa pili haoni huo ujinga wa bidada,pia sugu alitaka kumtoa rinda kwahiyo sasa hivi kawa mzoefu wa kugawa rinda ndio anataka kumtunuku sugu

Back
Top Bottom